Mugabe amlipua waziri wa Marekani wa masuala ya Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mugabe amlipua waziri wa Marekani wa masuala ya Africa

Discussion in 'International Forum' started by JokaKuu, Jul 12, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Jul 12, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..hivi Mzee Mugabe ana matatizo gani na Wamarekani Weusi?

  ..kila anayejitokeza anagombana naye tu. alianza na Condi Rice, akamparura kwa maneno makali dada Jendayi Frasier, sasa kaja kamlipua Johnnie Carson.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mugabe anaonekana kuwadharau wamarekani weusi kwa sababu ya historia yao (utumwa). Lakini pia anawachukia kwa kudhani kwamba weusi ni vibaraka wa weupe, kwamba yale wanayoyasimamia wanakuwa wametumwa na "adui" zake mugabe, yaani wazungu.
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Unajua inawezekana kabisa amemdharau kwa kuwa amemuona ni mweusi au ana asili ya kiafrika ,kama unavyoona katika mambo yetu huwa hatusikilizani wala hatuna ukweli ,na hata mkifikia maamuzi basi utekelezaji wake unakuwa wa kupigwa chenga ,kila mmoja anajifanya mjanja ,aidha inawezekana Mugabe anajiona ni msomi kuliko wao,hivyo vyeo wanavyokuja navyo huwa ana nguvu ya kuvichalenji na tatizo jingine inaonekana ni mgumu wa kushauriwa ,si unajua tuna kale kamtindo cha kuitana muheshimiwa ,sasa inakuwa ni vigumu kumwambia au kumuelewesha cha kufanya baba wa Taifa ,nakumbuka yule Baba wa Tanganyika alifikia kuitwa Baba haambiliki ,nasikia alikuja juu na kufoka na kusema kuwa majina yote aitwe lakini hilo hataki kulisikia. Ni kasumba tu kwa kuwa unajiona una umri mkubwa au umesoma sana basi kufuata ushauri kwako ni mwiko ,ndio hivyo tunavyoiona CCM kwa kuwa ni Chama cha Mwanzo inakuwa mbinde kushauriana nao hata lako watalifanya lao.Na wengine wote ni blalifuli.
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  hapa hapana suala la rangi, kinachomkera Mugabe ni sera na misimamo ya kuandamwa na serikali za magharibi na Marekani. Kwani si alishawabwatukia Bush na Tony Blair ndani ya UN si ma bazungu yale?
   
 5. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waafrika .........
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Jul 12, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  Babuyao,

  ..mbona hajawahi kutoa kauli za namna hiyo kwa ANDREW YOUNG?

  NB:

  ..nasikia hata Ben Mkapa naye aliwahi kubwatukiwa na Mzee Mugabe.
   
 7. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Tatizo nnaliona hapo ni kwa hizi nchi kutuma maofisa wake wenye asili ya Afrika wakidhani kuta-neutralise issue nzima.

  Raisi Obama amekwenda Afrika (Ghana) akiwa na familia yake ili awaoneshe maisha halisi ya ancestors wao, Kenya kwa Obama na West Afrika kwa Michelle Obama.

  Lakini hao Africa Americans ni wajinga wa kwanza kwa kujifanya kwamba wao wana knowledge kubwa ya kusoma vitabu kuhusu Afrika na hata siku moja hawajawahi kwenda na watu kama Mugabe wanakuwa na nguvu ya kuwa-challenge.
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu, yawezekana Young hajapita kwenye anga za Mugabe. Yule jamaa hamwonei yeyote aibu. Ana matusi machafu sana. Sijui alisomea wapi matusi Rais yule. Jamani!! Anakutukana mpaka wewe mwenyewe unajitilia shaka!

  Lakini pia yule jamaa ana intellectual pride na majivuno ya hali ya juu. Kumbe kabla ya mtu kumkabili lazima ajiweke sawa. Yule saizi yake walikuwa kina marehemu Nyerere.
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Mugabe is right and i support him 100% hata jana kwenye speech aliyotoa Accra Obama amecknowledge kuwa western sanctions zimewatia umaskini sana wazimbabwe
   
 10. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mugabe is always right! Wait and see.
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Jul 12, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..nashauri astaafu siasa na kuwaachia wenzake nao wajaribu.
   
 12. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama Mugabe hawezi kumbwatukia mtu kama Young maana yake hawadharau Wamarekani weusi wote.

  Na sababu ya kumdharau Jendai Fraser na si Young ni kwa sababu Mugabe ana ugonjwa wa u-alwatan. Ni alwatan wa Afrika, wakati Mugabe anagombea uhuru Fraser Jendai alikuwa elementary school in the hood, hawezi kuja leo kumkoromea Mugabe, ndio anavyoona.

  Ndio kina Kikwete pia, hawawezi kusema kitu mbele ya Mugabe. Gadaffi, Nyerere, (Zuma/Mbeki/ Museveni etc.) wote hawa wana huu ugonjwa wa u-alwatan, waliondoa walioshikilia hizi nchi zamani, walianzisha hizi nchi, wanajisikia a sense of entitlement. Wengine ni spring chicken.

  Na Obama nae anamuona cha mtoto, akijichanganya atamrarua, kampa warning kupitia huyo balozi. Mugabe alifungwa na wakoloni wakati Obama yuko Columbia anaandika freshman composition. Mugabe akawatoa makaburu akapata Urais, Obama alitoa speech kwenye DNC convention akapewa Urais. Mugabe hamuogopi.
   
 13. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Most African Americans lack self confidence..they dont stand for what they believe and good for their fellow Africans..they simply listen to their masters! ..and the worst thing is that they want to impress their master no matter what!.
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Regardless of your political persuasion and vantage point, president Mugabe continues to consistently dish out torrents of unwarranted undiplomatic and embarrassing unstatesmanlike statements. These statements would prove embarrassing not only to polite societies and the international diplomatic corps, but also to any conscientious self-respecting person.

  In the process, Mr. Mugabe betrays his overly negative and narcissistic nature.This megalomaniac despot is way past his prime and needed to have gracefully -if the word can be used so loosely- retired a long time ago.Frankly, I am greatly disapointed by Morgan Tsvangirai's complacency and compromising nature, after all that went down.He basically betrayed a much needed revolution in Africa for fear of his life and personal well being, which even now -Mugabe being the fox he is- is not guaranteed.

  What do you really expect from a man who publicly and proudly proclaims that he has "a degree in violence" and "It may be necessary to use methods other than constitutional ones" ?.The Machiavellian tactics of demonizing the west, epitomized by the land issue but also surfacing in other anti western tendencies such as this unfortunate blurb -as merited as can be- are overused, over-spinned, tired cards that careful Africa watchers can easily see through as more of political machinations than the genuine article. Mugabe plays politics like a game to advance his own waning career, and has little to no interest in the true issues of the continent.If he was really interested in sovereignty he would have employed a principled and selfless Kaunda-like appreciation of the rule of law and will of the people, but as we all know, he cannot afford to do that -in fact he attempted but his hangerons, particularly the bloodied security agencies, wouldn't even let him- due to the possible repercussions of the many war crimes he committed , especially pertaining to the Matabeleland massacre.

  Mugabe gracelessly and abusively shut down Kikwete at the Lusaka summit -which was supposed to chastise him- as if Kikwete was a schoolchild, telling Kikwete he was not on his -Mugabe's- level, and Kikwete being the meekly timid and humbly lame sheep, sat down with no further protest. Mugabe is a cancer much afflicting to Africa, and sadly Africa - from the policy wonks like Mkapa who bought into his anti-western antics to the point of advocating him at the 2001 Brisbane Australia CHoGM to his SADC enablers including the Africa Renaissance point man Thabo Mbeki- has displayed no capacity to deal with such imbeciles squarely, a much needed part of the whole good governance process which is a crucial part of overall development.

  As much as I feel for the people of Zim, and the landless of Zim due to the colonial legacy - a genuine issue deserving a genuine, and even sufficiently militant backlash- I cannot help but feel that Mugabe is using these issues to garner support and cling to power.

  Some more gems from Mugabe

  "Our votes must go together with our guns. After all, any vote we shall have, shall have been the product of the gun. The gun which produces the vote should remain its security officer - its guarantor. The people's votes and the people's guns are always inseparable twins."

  and then he goes on to contradict himself here

  "People are free to campaign and they will be free to vote. There won't be any soldiers, you know, at the queues. Anyone who has the right to vote is free to go and cast his vote anywhere in his own area, in his own constituency."
   
  Last edited: Jul 12, 2009
 15. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I don agree with all things that Mugabe is doing to his people but i am very aware of the tactics and other western media propaganda towards Mugabe.
  We know where it started ..we know the source of it!..so my take is keep up listen to CNN and Fox news and other western media propaganda ..may be one day you will understand these people and their games!...good luck!

  Wembe.
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I don't even watch CNN and Fox, all I am saying is that, there is no reason why Mugabe, the west and Tsvangirai cannot be principally wrong at this time.

  Somehow, it seems Mugabe has succeeded in polarizing people into the classical Bushism ideology of "If you are not with us, you must be with them". The West is truly wrong for colonizing and marginalizing the Zim people, Tsvangirai is clearly wrong for compromising and his complacency, Mugabe is colosaly wrong for his consistently dirty acts

  To approach this issue in a one tracked mentality (East vs West) and expect to do justice to the issues is analogous to trying to produce a Dr. Dre production from an a-capella equipped studio, or trying to force Einsteinian relativistic results out of Newtonian terrestrial equations.
   
 17. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mugabe ana kila haki ya kuwa mkali. Kwanini upangiwe jinsi ya kuishi nyumbani kwako?.
  Tuwe makini na vyombo vya habari vya nchi za magharibi. Ni wazandiki na waongo wakubwa. Miaka michache iliyopita the same vyombo vya habari vilikuwa vinammwagia misifa kibao Mugabe, na wakati huo Mugabe alikuwa anacheza tune moja na western countries. Leo hii Mugabe kaamua kucheza tune za kikwao wanamuona mbaya. Ubaya wa Mugabe unaonekana zaidi na nchi za magharibi kuliko nchi za Africa?. Mbona AU hawana matatizo na Mugabe?.
   
 18. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yep..yep i totally agree with you ..and as the matter of fact the problems started when Mugabe said "NO" to their interests!..thats when we started to hear all these!
  Sani Abacha was killing and terrorizing Nigerians for many years ..and yet non of the so called democratic western countries opened up their mouth on him..You know why?.because he didnt touch or messed up with their interests!! So Africans need to understand these games..otherwise we will continue killing each other or blaming each other and at the same time avoiding to address the source of our problems..
   
 19. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ohh BluRay...i have not even a sentence nor a word to say...you summed it up.
  I do not care really much what Mugabe has done....
   
 20. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mugabe alipigania uhuru na anajua uchungu wa kutawaliwa ndo maana hataki kabisa kusikia neno kutoka kwa mataifa makubwa yaliyowatawala waafrika. Kama mtakumbuka miaka ya 80 aliyekuwa waziri wa fedha Edwin Mtei alishauriwa na IMF kushusha thamani ya shilingi na alipomshauri mzee haambiliki akaambiwa ajiuzulu na mzee Haambiliki akaenda kuhutubia umoja wa vijana Kigoma na kusema kuwa hatuko tayari kugeuka nyuma na kuwa mnara wa chumvi. Alimaanisha kuwa hakuwa tayari kurudi tenanyuma na kuongozwa na weupe kitu alichokiita ukoloni mamboleo. Hivyo tumwache Mugambe na msimamo wake wa kuwaonyesha hao wanaojifanya vinara wa dunia kuwa waafrika nao wana kauli na misimamo yao wenyewe.GETUP STANDUP, STANDUP FOR YOUR RIGHT.ROBERT NESTA -BOB MARLEY.
   
Loading...