Mugabe amepata makengeza!

hata apofuke hakuna neno as long as ana courage na sauti ya kuwaambia wanyonyaji "shape up or ship out"mi naona poa tu....

Sioni kama ni makengeza bali ni macho ya kizee yakiangalia kimapenzi.....l.o.l:rant:
 
ANGEKUWA DR. SLAA HAPO YANGEKUWA MENGINE.....manake kwa wake za watu hajambo
 
Ukimwangalia vizuri Mzee mzima utaona hata nywele zake simesisimka, kama vile zimepata umeme!
 
Wewe mahesabu, uchaguzi ulishapita na zile propaganda za kumchafua Dr. Slaa hazikufua dafu, tafuteni sababu zingine, kwa hilo la wake za watu unafanya majungu. Usimwongelee Dr. Slaa pekee, hata wewe mkeo akikuacha kwa ulevi, lazima ataenda kwa wanaume wenye uwezo wa kumtosheleza mahitaji yake.
 
Hii ni salaam kwa dk slaa, na mbuge wake wa jimbo la ubungo huyu Diwani wenu wa kata ya sinza anakitia aibu chama na anakatisha tamaa
kwa wapiga kura yeye anapenda pombe kuliko kazi hakuna jambo la maana analosimamia zaidi
ya magomvi ya kwenye Bar mkalisheni huyo atatutia aibu 2015 tafadhari bwana mnyika fanya hivyo bwana anatuboa huyu kijana
 
Yaani yaonekana lile vagi la Gono limekwisha sasa...........love really conquers it all..............................

 
Afadhali amwangalie mke wake kwa jicho la mahaba kuliko angemuangalia mtu mwingine

HE IS TRULY AFRICAN SON
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…