papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 501
Peleka udini wako huko ,hoja yako haina mashiko ,ni kidini zaidi ,kwanza aliyekwambia Askofu pengo kwamba kamshtaki Gwajima ni nani ? hujui kwanba kutuma hadharani ni kosa la jinai ?.Na mambo ya kina sheikh ponda na wenzie wa zanzibar yanaigia vipi hapa ? wale kesi yao ni tofauti kabisa na kabisa na hiki kilichotokea majuzi ..nenda zako huko nenda kajivishe mabomu ukawatete mahakamani kama unaona wanaonewa , Ndiyo nyie mnaotaka kuleta mambo ya boko haram huku na ndio hivi hivi walivyoanza kwa vitu visivyokuwa na mbele wala nyuma wakalelewa kisha mwisho ndiyo hayo mnayaona ..fanya yako na maisha yako
Tofauti ya alichoongea ponda na gwajima nini?Msije mkaona tumekaa kimya mkajua tumeyasahau wanavyofanyiwa mashekh wetu.Serikali inatakiwa kuwa makini haiwezekani iwe inakandamiza upande mmoja na kufanya upanda mwingine ndio una uhuru katika nchi hii.Wahutu na watusi walianza hivi hivi.

Hata mimi ni muislamu.lakini kwa katiba hii hapana.hebu ndugu isome vizuri.wameweka madudu mengi na kisha kutia la mahakama.mimi nijuavyo si lazima mahakama ya kadhi uhudumiwe na serikari.tunaweza wenyewe kufanya kama tunavyofanya mengine.ila kuikubali hii katiba ni kukubali kunyonywa daima dawamu.na gwajima alimnanga mgala mwenzie pengo ila ponda alirusha jiwe kizani.
Peleka udini wako huko ,hoja yako haina mashiko ,ni kidini zaidi ,kwanza aliyekwambia Askofu pengo kwamba kamshtaki Gwajima ni nani ? hujui kwanba kutuma hadharani ni kosa la jinai ?.Na mambo ya kina sheikh ponda na wenzie wa zanzibar yanaigia vipi hapa ? wale kesi yao ni tofauti kabisa na kabisa na hiki kilichotokea majuzi ..nenda zako huko nenda kajivishe mabomu ukawatete mahakamani kama unaona wanaonewa , Ndiyo nyie mnaotaka kuleta mambo ya boko haram huku na ndio hivi hivi walivyoanza kwa vitu visivyokuwa na mbele wala nyuma wakalelewa kisha mwisho ndiyo hayo mnayaona ..fanya yako na maisha yako
Acha unafiq,,, issue hapa si mahkama ya kadhi hiyo hata shida nayo kwa sasa hatuna,,, issue kuu ni fair play,,, kukutwa na bastola,,,, na kuachiliwa ,,, kutukana hadharani... na kuachiliwa,,,, kupigwa risasi hadharani ...na kufungwa... kudai mali za wailam ..na kufungwa.... hii ndio hoja hayo mengine ni mapambio tu.. waislam wanashida ya kujua sasa makosa halisi ya PONDA ili walinganishe na ya GWAJIMA ,,, kwa nini iwe siri maana mpaka sasa hatujui nini makosa hasa ya sheikh.. twataka jua makosa yake basi wala hakuna jengine
Anachosema ni kwamba serikali inakandamiza haki za raia wake wewe ulipaswa kuunga mkono kwamba serikali hii ya CCM ni kandamizaji kosa la hao Masheikh walio wekwa mahabusu bila dhamana ninini?
kutofautiana dini kusikufanye ukamuona mwenzio hana haki, fikiri mara mbili, kama raia wa nchi hii wamesema WANATAKA SERIKALI TATU, Sheikh PONDA kawaambia BAKWATA waache kuuza mali za WAISLAM hili ni kosa?