Mufti Simba angaka - Azuia misikiti kubeba wanasiasa

Status
Not open for further replies.
Ila sms sent, bakwata pamoja na kuwa tawi la ccm ila chukueni tahadhari na huyu mwizi wa kimataifa low has,maaskofu igeni msimamo wa mufti,timueni lowassa na wanasiasa uchwara wa aina yake

mambo zimeanza ku-backfire sasa.

Uislam haupendi UNAFKI, sitaki kuamini ni yeye Sheikh mkuu kasema haya.
 
je viongozi wa Kanisa Katoliki, Anglikana, KKKT, Seventh Day na Makanisa ya PENTECOSTE wana ubavu wa kutamka kama Mufti? wako tayari kuwasema wanasiasa ambao wamekua wafadhili wakuu wa miradi ya makanisani? kazi ipo!
 
hata kama mufti amechelwa lkn hajachelewa sana. 2015 bado. tunaomba na viongozi wengine wa dini wamuiige mufti

kanisa katoriki walishamtoaga dima zamani hatii kwato zake. pengo tena!!
 
Wednesday, July 13, 2011
MH. LOWASA AKUTANA NA MUFTI SIMBA; AMWAGA MAMILIONI KWA AJILI YA ELIMU.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akimkabidhi fedha Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa Shaaban bin Simba kiasi cha sh. milioni 13, kwa ajili ya kusaidia shule ya sekondari ya Edward Lowassa iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mufti ambaye ni mlezi wa shule hiyo, Shule hiyo inatarajiwa kufunguliwa rasmi mwakani kwa kuanzia na wanafunzi 200 wa kidato cha kwanza, na kwamba fedha hizo zitatumika kukamilisha baadhi ya mambo ya shule hiyo ikiwemo kujenga bweni la watoto 30, choo cha shule, kisima cha maji na shule itajihusisha zaidi kusomesha yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Kulia ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alfred Tibaigana ambaye pia ni mlezi wa shule hiyo.
hizi pesa lowasa alizitoa mwaka 2011 kwa ajili ya shule yenye jina lake iliopo kigamboni. mufti alilalamikia utoaji pesa katika misikiti na makanisani. alisema hizo ni sehemu za ibada. nje ya hapo hajakemea.
 
NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,

“Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada".

Aliwasihi viongozi wa dini kulinda heshima zao kwa kusimamama imara kupinga kuhusishwa dini pamoja na madhehebu wanayoyaongoza na siasa na wawatazame wanasiasa ambao wanadhani njia ya kuendea Ikulu ni kupitia nyumba za ibada kuwa watu hao ni hatari. Alisisitiza Shekh Mkuu!

Kama anamaanisha alichokisema kwa nini asiseme makanisa/misikiti iliyopata pesa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika wawarudishie pesa zao?
 
Atakuwa ameshaandikiwa memo na wapinzani wa Lowassa wa urais. Anyway watajijua wao na liccm lao.
 
Ni jambo la msingi kalizungumzia sheikh mkuu na nadhan hiyo isiwe kwa misikiti tu bali na makanisa, kwa misingi hiyo ni kwamba viongozi wa dini kwa ujumla wao Wakristu kwa Waislam wasiruhusu nyumba za ibada (Kanisa na Msikiti) Zitumiwe na baadhi ya wanasiasa katika kutimiza adhma yao ya kuingia Ikulu endapo viongozi wetu wa dini wakiruhusu hali hii ikaendelea watasababisha madahara makubwa sana katika nchi yetu.
 
1.JPG

Wednesday, July 13, 2011
MH. LOWASA AKUTANA NA MUFTI SIMBA; AMWAGA MAMILIONI KWA AJILI YA ELIMU.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akimkabidhi fedha Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa Shaaban bin Simba kiasi cha sh. milioni 13, kwa ajili ya kusaidia shule ya sekondari ya Edward Lowassa iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mufti ambaye ni mlezi wa shule hiyo, Shule hiyo inatarajiwa kufunguliwa rasmi mwakani kwa kuanzia na wanafunzi 200 wa kidato cha kwanza, na kwamba fedha hizo zitatumika kukamilisha baadhi ya mambo ya shule hiyo ikiwemo kujenga bweni la watoto 30, choo cha shule, kisima cha maji na shule itajihusisha zaidi kusomesha yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Kulia ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alfred Tibaigana ambaye pia ni mlezi wa shule hiyo.

I can't see properly, what is happening here?
 
hizi pesa lowasa alizitoa mwaka 2011 kwa ajili ya shule yenye jina lake iliopo kigamboni. mufti alilalamikia utoaji pesa katika misikiti na makanisani. alisema hizo ni sehemu za ibada. nje ya hapo hajakemea.
scramble
Hivi ni TATIZO HELA kwenye IBADA au Tatizo ni HELA za LOWASSA ?
 
Last edited by a moderator:
hizi pesa lowasa alizitoa mwaka 2011 kwa ajili ya shule yenye jina lake iliopo kigamboni. mufti alilalamikia utoaji pesa katika misikiti na makanisani. alisema hizo ni sehemu za ibada. nje ya hapo hajakemea.

Mbona umechanganyikiwa ghafla?
 
kwa mujibu wa Mufti, hakulalamikia hela ya lowassa. alilalamikia hela kutolewa katika nyumba za ibada kwa mbwembwe, vyombo vya habari na kauli za kisiasa

Mbona umechanganyikiwa ghafla?

Naona anajitahidi Kumtetea MUFTI wake baada ya KUBAMBWA LIVE akipokea MPUNGA.

ETI NGURUWE HARAM lakini SUPU YAKE SDIO HARAM.
 
Wamewahadaa wananchi weee ikashindikana,wakaingia makanisani na misikitini sasa yaonekana wameshtukiwa...sasa wataelekea kwenye mathehebu ya wapagani,sa uko sijui watavishwa nini baada yakuchangia......
 
NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,

“Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada".

Aliwasihi viongozi wa dini kulinda heshima zao kwa kusimamama imara kupinga kuhusishwa dini pamoja na madhehebu wanayoyaongoza na siasa na wawatazame wanasiasa ambao wanadhani njia ya kuendea Ikulu ni kupitia nyumba za ibada kuwa watu hao ni hatari. Alisisitiza Shekh Mkuu!

Lipumba kapeleka siasa msikitini mara mbili na hakusema lolote, labda kwa kuwa Lowa-hasa ni Mkristo ndo maana huyu mzee kaibuka na kutoa kauli. Kweli kauli yake haina mashiko kabisaaaaaa
 
Kwa ufupi nyie watumwa wa LOWASA chukueni hiyo na muifanyie kazi, mwambieni mtu wenu hakubaliki, yeye apumzike tu hiyo stroke isije ikamchukua mapema tukaanza kuwa na Lowassa day.

Mwanza hali imechafuka, Wenje na Kiwia wamehamasisha wamachinga kuwa pesa za Lowasa ni za majini, ukizitumia unakula mtaji, ushahidi mbalimbali umetolewa kwenye mikutano hiyo.

Lowassa team watch out, this is banning on your side.

lowasa day ije tu.
 
low-hasa anatumia njia chafu kuingia ikulu, ni kwel viongozi wa dini wawe macho
Kumbe kutaka kuingia ikulu kwa kutumia ukarimu, huruma, wema, unyenyekevu kupitia michango mbalimbali kwenye nyumba za ibada, ni "njia chafu!". Afadhali 2015 tuendelee kuitumia ile ile "njia safi" kama iliyotumiwa na 2005!.
Pasco
 
NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,

“Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada".

Aliwasihi viongozi wa dini kulinda heshima zao kwa kusimamama imara kupinga kuhusishwa dini pamoja na madhehebu wanayoyaongoza na siasa na wawatazame wanasiasa ambao wanadhani njia ya kuendea Ikulu ni kupitia nyumba za ibada kuwa watu hao ni hatari. Alisisitiza Shekh Mkuu!

Mara nyengine wazipitishie kwake tu, udhia utakwisha!
 
kwa mujibu wa Mufti, hakulalamikia hela ya lowassa. alilalamikia hela kutolewa katika nyumba za ibada kwa mbwembwe, vyombo vya habari na kauli za kisiasa

Kwani sehemu nyengine kama shule, vituo vya mayatima huko ndiko kunahitaji pesa zisizo halali. Na kuna ubaya gani iwapo pesa za halali kutolewa msikitini? Mbona hutandikwa jamvi kuomba michango hiyo hujulikana vipi kama ni pesa halali? huyu mzee anajijenga tu kwa wakubwa basi, na wala hana lolote la maana analowatendea waislamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom