Gentleman,
kwa neema na baraka za Mungu,
kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan ataiongoza Tanzania kwa amani mpaka atakapomaliza ngwe yake ya pili 2030.
Huyo Mufti atakuwa ni wakala wa shetani anayetaka kumsaidia muuaji. Wanataka kusema huyo muuaji ana mapepo ndiyo yaliyosababisha afanye mauaji? Hii mbinu ni sawa na ile ya walevi wanafanya uovu, wakikamatwa wanajitetea kuwa walikuwa wamelewa!