Muenzi mke wako

Muenzi mke wako

Ni kweli Kabisa nimeona hili
Yaani haijalishi kitu kina ukubwa au udogo kiasi gani kama unaona kimekufaa unakichukua na kama hakifai unakiacha.. Na wema hauozi hata iwe ni punje ya mchanga
 
Watu wamesahau kuenziana kwenye mahusiano... Na ndio siri wazee enzi na enzi wamefanikiwa.. Leo vijana tunatafutiana sababu tu ilimradi kutiana hila!
Mungu atusaidie kwa kweli maana mahusiano ni changamoto
 
Back
Top Bottom