Muendelezo Vita Dawa ya Kulevya: Masogange apelekwa kwa Mkemia Mkuu

nh.jpg
Medical ethics huzingatiwa kwenye kila situation.
 
Ayaaaaaa huyu si ndiye alikamatwa na kilo 150 South Africa mpaka Mheshimiwa Mwakyembe kasema ni kweli alipita airport ya Dar na video inamuonesha ni yeye,sasa hapa tunakoelekea tutaambiwa anatumia tu na pengine yeye anatumiaga UGORO wa kimasai
 
..demu hili matata sana...hili la kusafirisha ngada si la kuuliza kwani huyu aliwahi kukamatwa jburg na mzigo wa mabegi tele ya christal meth akitokea Dar...hivyo ni proved msafirishaji....hili la kutumia mpaka wampime....sasa sijui watatumia modality gani kumpima....damu tu...ama pia ataambiwa anye!!..maana hilo zigo ni balaa.....mchina anamaliza mademu wetu wallah..Haiwezekani milupo ya kibongo wanafungasha nyuma tu kila uchao...


 
Tena mkemia huyu hashindwi unaambiwa anajua kwa mwezi umetumia mara ngapi!!! Eti Manji katumia mara mbili tu ndani ya mwezi huu wa pili!!!!
I wish I could be the Mkemia!!
 
Hii ni kazi haswaa,yaani in bora itamkwe kila mtz mwenye umri+18 apimwe damu kubaini kama in mtumiaji Wa madawa vinginevyo itachukua miaka!kukamata MTU mmoja mmoja..tens ma celebrities tu..
 
Kweli teknologia imekuwa sana siku hizi. Naomba ni juzwe jinsi mkemia mkuu anavyopima na kumgundua muuzaji na msafirishaji wa madawa ya kulevya.

Hili la kutumia sio tatizo kwani tunajua mtumiaji akikosa unga anakuwa amekata seal.

Na washawasha!
Aaaah hilo tu, watu wanagundua hawamiaji haramu waliokufa kwa kuangalia viroba walivyofungiwa navyo. Sembuse wewe uliyeninginiza viatu kwenye kamba za umeme. Unajulikana tu, sisi sio watu wa mchezo mchezo.
 
Sasa wanamchunguza Masogange kama anasafirisha dawa za kulevya wakati alishakamatwa akisafirisha????? Halafu miaka yote walikua wapi wakati agnes anakamtwa south Africa???

Kweli hii ndio nchi ya "UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA"..

ndio wasomi wetu mlivyo

dawa alizokamatwa nazo kipindi kile zinaitwaje? rudia ile story na ujue position ya askari ilikuwaje
 
Kwa kuwa Makonda anachukua mzigo na walimsema kwanini kwenye list yake hakumweka, huu ni mchezo tu na gelesha kupunguza maneno kesho kutwa utasikia hakukutwa na kitu kwahiyo yuko huru...

Wakati inajulikana na alishakamatwa mara kibao..
Tanzania ya maigizo
 
Kuna mambo mengine yanashangaza.....
Masogange anachunguzwa kwa kosa lipi ..
NI utumiaji au uuzaji..
Kama kuwa punda sshafanya hadi kudakwa
Mbona kama wana divas divas fulani Kwny issue yke

Ova
 
Makonda hana mamlaka zilikua tuhuma sasa wenye mamlaka wanajiridhisha akibainika ni mahakamani tu
 
Hivi kwa anayejua, kuna muda maalumu ambao toka utumie ndipo unaweza kugundulika, yaani kama ulitumia wiki tatu zilizopita unaweza kugundulika maana nahisi kwa kelele hizi may be watu wamesitisha mpaka upepo utulie
 
Hii kweli sinema.

Badala ya kukamata wauzaji wao wanakamata watumiaji.

Wakati watumiaji wamejaa kibao mitaani
 
Hivi vitu vingine ni vya ajabu sana. Hivi huyu si ameshakamatwa before akiwa anasafirisha..tena nchi za watu. Sasa wanachunguza nini hapo? Labda hivo vipengele vingine. Ila hiki kimoja wasitake kutuchezea akili.
 
Back
Top Bottom