Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,351
- 6,477
Mnhh..huyo mkemia kama wa kiume anaenda ingia majaribuni jamani.... Lile tako ....
Anaweza atake kuchukulia sampuli ya damu kutoka kwenye angle hiyo.
Mnhh..huyo mkemia kama wa kiume anaenda ingia majaribuni jamani.... Lile tako ....
Iweke sawa kamanda mimi siyo mtu wa Statistics.Uko sahihi ilitakiwa niliwekee hizo ".. "Sikumaanisha pure random sampling lakini ujumbe unefika ...Unavyoelezea 'random sampling' na maana ya ''random sampling' haviendani mkuu.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Dar es Salaam, Simon Sirro amesema mtuhumiwa Agness Gerald, maarufu Masogange amepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuchukua vipimo vya damu ili kubaini kama anatumia dawa za kulevya.
Masogange ambaye ni mrembo maarufu anayetamba katika video za wasanii mbalimbali wa bongo fleva alikamatwa na polisi juzi.
Kamishna Sirro amewaambia wanahabari leo kuwa Masogange amepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kwamba majibu yakipatikana kesho atafikishwa mahakamani
"Tunamchunguza Masogange katika mambo matatu ili kujua kama anauza , anatumia au anasafirisha dawa za kulevya, " amesema Kamishna Sirro.
Katika hatua nyingine, Kamishna Sirro amesema watuhumiwa 349 wamekamatwa kwenye operesheni ya kupambana na dawa za kulevya iliyoanza Februari Mosi mwaka huu.
Chanzo: Muungwana
Sasa bila hata hiyo jitihada ya "angalao" kudaka mmojam1, watapunguaje sasa?Huu nii utani my dear!
Sisi hatuhitaji kuwajua watumiaji mbona ukipita vituo vya daladala wamejaa wengi tu tena wanabembea bila shida. Ila tunahitaji wakamatwe wauzaji na wasambazaji ili hii biashara ikome kabisa au ipungue maana wanaoumia ni vijana wenzetu na watoto wetu. So wakishampima Masogange akikutwa anatumia watakuwa wamezuia kiasi kuingia kwa madawa hapa nchini?
Huu ni utani uliotukuka!!!
Huyo hatoki mapema. Kuna watu wanapendezwa nae sana pale sentro. Yaani ni kiburudisho tosha kwa Wazee wa Sentr na kila wakati anatumwa ili watu watizame kikalioWamuachie haraka, kuendelea kumshikilia huyo ni kutumia vibaya kipozoe cha mioyo ya watu
Soma post #6Kweli awamu hii hakuna utani!!
Sasa wanamchunguza Masogange kama anasafirisha dawa za kulevya wakati alishakamatwa akisafirisha????? Halafu miaka yote walikua wapi wakati agnes anakamtwa south Africa???
Kweli hii ndio nchi ya "UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA"..
Kuna mahali tunakaribia kupoteana. Tunataka wasambazaji na wauzaji, mbona watumiaji tunao kila kona na wanajulikana waziwazi?
Wauzaji na wasambazaji wanaowajua ni watumiaji. Hivyo logically ukitaka kuwajua na kuwakamata wauzaji na wasambazaji hawa njia nyepesi ni kuanza na watumiaji ambao wako kila mahala na ni rahisi kuwabaini.Kwa mkemia mkuu kufanya nini sasa? Yaani sasa tunaishia kutafuta "watumiaji". Kumbe mbwembwe na mikogo yooote bado hatuwajui wauzaji na wasambazi wakuu mpaka leo.
Hivi mkemia mkuu anaweza kumpima mtu kama ni mbeba au muuza unga? Si anapima mateja tu?
Bg a**
Ova