Mudathiru hakupaswa kupewa redcard

Mudathiru hakupaswa kupewa redcard

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
257
Reaction score
278
Mwamuzi Sadi mlope kafanya makosa bila kutumia taaluma yake vizuri kwenye tukio la mudathiru yahya abasi.

Mudathiru ndiyo alianza kuvutwa jezi na mchezaji wa TRA ndipo na yeye kumvuta akiwa mtu wa mwisho Sadi mlope alienda kuangalia kwenye PC baada ya kujiridhisha akatoa kadi nyekundu.

Naamini TFF wataiangalia Ile faulo naamini asilimia Mia Ile kadi nyekundu itafutwa
 
The end justifies the means.! Ile ni clear red card
 
Mmeanza mapema sana kulialia jamaa.

Ndiyo kwanza round ya ngapi vile???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom