Muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Kuna tetesi kuwa muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu.

baada ya kuvuja kwa picha akionekana akifanya mazungumzo na mtendaji mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez.

kitengemaulid-___CKViGt4Hiqo___-.jpg
Ibenge (59) kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya taifa ya Congo DR inayoshiriki michuano ya CHAN 2020 nchini Cameroon.

Lakini pia ni kocha mkuu wa club ya AS Vita inayotarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa Kundi A February 12 2021 club Bingwa Afrika Kinshasa Congo DR
 
Back
Top Bottom