..wazo zuri zaidi ni kuanzisha chama kipya.
..kufanya mapinduzi ktk vyama is more time consuming.
..kwanini mtu asitumie muda na rasilimali kuwatetea wananchi badala ya kugombana na kupinduana na Hashim Rungwe, James Mbatia, na wengine?
Umoja Party inawasubiri
Karibuni
Kuanzisha vyama ni kuwachanganya wananchi. Vyama hivi tumevipigania sote hadi kuvifikisha hapa vilipo.
Kipi tunachoomba kilicho kinyume cha utaratibu:
"Iko wapi mikakati ya ukombozi? Iko wapi mikakati ya kutuvusha?"
Kwanini isiwe asiye na majibu hapo hatufai aingie mwenye majibu?
Ninakazia hivi vyama si mali binafsi.
Heading yako inataka mapinduzi lakini nikisoma content yako unataka chaguzi vyamani ziwe wazi, hapa umeniacha gizani sijui haswa unalenga nini.
Ila kuhusu huu mkwamo unaouzungumzia, mimi binafsi naona ni kama second chance imepatikana ya kutafuta plan B.
Huu mkwamo umetuletea swali, vipi wale waliokuwa wakitegemewa kutusemea kila siku wanapoamua kunyamaza, what's next?
Pia badala ya kuendelea kulalamika kutaka kubadilisha uongozi ili tupate "wasemaji" wetu wapya, sisi kwanza lazima tujue mipango yetu ni ipi?
Nionavyo, kwa hii tabia yetu ya ukimya hata wakija hao viongozi wapya kutusemea, bado tutakuwa wazito wa kuchukua hatua.
Kumbuka wao wanaongoza tu, lakini wananchi ndio tunatakiwa kuwa watu wa vitendo zaidi ili kuleta mabadiliko, hili tumeliona nchi zote mfano wa karibu ni Sri Lanka.
..sasa hapo unakuwa 50/50
..wewe unaweza kuona waliopo hawana majibu, wenzako wakaona waliopo wana majibu.
..ndio maana nasema ni vizuri kuhamasisha wenzako ambao mnaendana kimisimamo ili muanzishe chama kipya kitakachosukuma ajenda yenu.
..zaidi ningependa kukumbusha kwamba hali mbaya ya kiuchumi kisiasa na kijamii imetokana na utawala mbovu wa Ccm na sera zake.
..Ccm ndio wenye serikali hivyo wanawajibika kutatua shida na changamoto za wananchi.
Naona mkuu umeamua kuwa chambua waswahili wanasema “kuwachamba”Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni nini?
Ni vipi tunawapa dhamana viongozi hawa na ili wafanye nini? Haya ni mambo ya kuangaziwa vilivyo sasa na bila ajizi. Muda wa kuzifanya chaguzi zetu kuanzia vyamani na hata kwa nchi kuwa wazi zaidi ni sasa. Washindanishwe watu wote wenye kujidhania wanafaa kama inavyokuwa kwa beberu Biden. Tunahitaji watu walio bora si bora watu.
Watuambie mikakati yao na watakavyotuvusha. Kutuletea hadithi za kuwa umekosa watanzania wa kukuunga mkono, itoshe kuwa hati rasmi na halali ya wewe na timu yako kujiuzuru. Ama kwa hakika tumewavumilia sana. Tusingependa tufikie kwenye kunyang'anyana uongozi kikuku. Vyama hivi si mali binafsi. Wenye uwezo wa kuviongoza wapo. Hayupo mwenye hati miliki.
Habari hii iwafikie wote kutokea Lumumba hadi kwa Hashim Rungwe kokote kule aliko. Kwamba mmeshindwa kuwaunganisha watu kudai haki zao, mmeshindwa kazi tokeni madarakani. Madarakani si kwa ajili ya kulamba asali peke yake.
Habari ndiyo hiyo.
Ila ni wazo zuri ulilo nalo japo litaleta ukakasi kutekelezeka kuanzia chama tawala[ CCM ] na vyama vyote vya upinzani.Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni nini?
Ni vipi tunawapa dhamana viongozi hawa na ili wafanye nini? Haya ni mambo ya kuangaziwa vilivyo sasa na bila ajizi. Muda wa kuzifanya chaguzi zetu kuanzia vyamani na hata kwa nchi kuwa wazi zaidi ni sasa. Washindanishwe watu wote wenye kujidhania wanafaa kama inavyokuwa kwa beberu Biden. Tunahitaji watu walio bora si bora watu.
Watuambie mikakati yao na watakavyotuvusha. Kutuletea hadithi za kuwa umekosa watanzania wa kukuunga mkono, itoshe kuwa hati rasmi na halali ya wewe na timu yako kujiuzuru. Ama kwa hakika tumewavumilia sana. Tusingependa tufikie kwenye kunyang'anyana uongozi kikuku. Vyama hivi si mali binafsi. Wenye uwezo wa kuviongoza wapo. Hayupo mwenye hati miliki.
Habari hii iwafikie wote kutokea Lumumba hadi kwa Hashim Rungwe kokote kule aliko. Kwamba mmeshindwa kuwaunganisha watu kudai haki zao, mmeshindwa kazi tokeni madarakani. Madarakani si kwa ajili ya kulamba asali peke yake.
Habari ndiyo hiyo.
Naona mkuu umeamua kuwa chambua waswahili wanasema “kuwachamba”
Mwarobaini wa haya yote uliyo ya zungumza mkuu ni :-Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni nini?
Ni vipi tunawapa dhamana viongozi hawa na ili wafanye nini? Haya ni mambo ya kuangaziwa vilivyo sasa na bila ajizi. Muda wa kuzifanya chaguzi zetu kuanzia vyamani na hata kwa nchi kuwa wazi zaidi ni sasa. Washindanishwe watu wote wenye kujidhania wanafaa kama inavyokuwa kwa beberu Biden. Tunahitaji watu walio bora si bora watu.
Watuambie mikakati yao na watakavyotuvusha. Kutuletea hadithi za kuwa umekosa watanzania wa kukuunga mkono, itoshe kuwa hati rasmi na halali ya wewe na timu yako kujiuzuru. Ama kwa hakika tumewavumilia sana. Tusingependa tufikie kwenye kunyang'anyana uongozi kikuku. Vyama hivi si mali binafsi. Wenye uwezo wa kuviongoza wapo. Hayupo mwenye hati miliki.
Habari hii iwafikie wote kutokea Lumumba hadi kwa Hashim Rungwe kokote kule aliko. Kwamba mmeshindwa kuwaunganisha watu kudai haki zao, mmeshindwa kazi tokeni madarakani. Madarakani si kwa ajili ya kulamba asali peke yake.
Habari ndiyo hiyo.
Ni kweli kabisa kwa unacho zungumza hakija tekelezwa na vyama vyote vya siasa hapa nchini.Haipo namna. Hawana mkakati na eti wanataka mikakati wawe nayo watu mtaani huku wao wakilamba asali:
1. Mkakati wa ukombozi uko wapi?
2. Mkakati wa kuwashirikisha wote wenye nia ya kutuunga mkono uko wapi?
3. Vipi wahanga wetu kwenye ukombozi tunawafidia vipi?
Hata matatu haya kimya. Ila visingizio: watanzania wamejikita kwenye yasiyo na tija? Aaah wapi?
Kwa uongozi upi kwani?
Si watupishe waone?
Kwamba naweza kuona hawana majibu kumbe wanayo? Kwani majibu ni siri? Haya si ndiyo ya sera za Mrema basi?
Au wewe unayo majibu ya maswali matatu haya yaliyopo hadharani tangia mwaka jana?
View attachment 2333627
Tukubaliane kuwa vyama hivi havina mwenyewe. Tumevipigania sote na kwa muda mwingi tu. Hivyo si sahihi kutokujibu hoja au kujificha kwenye chagizo za kama vipi wengine kwenda kuunda vyama vipya.
Kwanini isiwe sahihi kufanya mageuzi kwa kushawishiana kwa hoja?
Wewe unaona viongozi tuliowapa dhamana ya kutuvusha ni sahihi kukaa kimya kama vile hawapo huku wakitutegemea sisi kumwagika barabarani bila kuwepo mkakati wowote?
CCM ni walamba asali. Kutatua shida ina maana waache kulamba asali. Ajitemeshe vipi huyu tonge mdomoni?
Umezungumza kitu kilicho bora Sana.Heading yako inataka mapinduzi lakini nikisoma content yako unataka chaguzi vyamani ziwe wazi, hapa umeniacha gizani sijui haswa unalenga nini.
Ila kuhusu huu mkwamo unaouzungumzia, mimi binafsi naona ni kama second chance imepatikana ya kutafuta plan B.
Huu mkwamo umetuletea swali, vipi wale waliokuwa wakitegemewa kutusemea kila siku wanapoamua kunyamaza, what's next?
Pia badala ya kuendelea kulalamika kutaka kubadilisha uongozi ili tupate "wasemaji" wetu wapya, sisi kwanza lazima tujue mipango yetu ni ipi?
Nionavyo, kwa hii tabia yetu ya ukimya hata wakija hao viongozi wapya kutusemea, bado tutakuwa wazito wa kuchukua hatua.
Kumbuka wao wanaongoza tu, lakini wananchi ndio tunatakiwa kuwa watu wa vitendo zaidi ili kuleta mabadiliko, hili tumeliona nchi zote mfano wa karibu ni Sri Lanka.
Mwarobaini wa haya yote uliyo ya zungumza mkuu ni :-
i, Uwanzishwaji wa vyama vipya vya kisiasa vilivyo imara na vilivyo na sera dhabiti zilizo wazi na vinavyo endeshwa kwa misingi ya kidemokrasia ya kweli na sio demokrasia maigizo.
ii, Ugombea binafsi [ mgombea binafsi ] aliye na sera dhabiti za kutuvusha hapa tulipo.
..nimezungumzia mabadiliko ya uongozi kwa njia ya uchaguzi ktk vyama.
..nimesema uchaguzi sio njia ya uhakika, ni suala la 50/50; kwamba, unaweza kupata viongozi wenye dira unayoitaka au usiwapate.
..njia ya uhakika zaidi ya kupata unayoyatamani ni kuanzisha chama kipya huku ukiwaunganisha watu wenye misimamo, mitizamo, na dira ya mabadiliko unayoipendekeza.
Jambo unalo zungumza mkuu ni mpango mzuri lakini kasoro iliyopo inayo tia ukakasi wa kutekelezeka kwa mpango wako kwa kuwa vyama vya kisiasa hapa nchi vimekwisha kuwa mali za baadhi ya familia na makunfi yao ya karibu kwa hiyo kuleta mageuzi/ mapinduzi katika mfumo wa namna hii ngumu kutekelezeka labda uundwaji wa vyama vipya vyenye sera dhabiti vitakavyo leta upinzani dhabiti wa hoja na vyama hivi vya sasa vilivyopo nchini . Vyama vipya sharti vinapaswa kuwa na watu ambao falsafa zina fanana na vilivyo wazi kwa wanachama wote.Kuanzisha chama kingine na ikawe option ya mwisho.
Pana watu wameumizwa, wamekufa, wameteswa, nk kwenye harakati hizi tukiwa pamoja. Tumewekeza muda na Raslimali tulipo tunahitaji tu mabadiliko ya tactics.
Inatia tamaa kupambana kutokea ndani kwanza. Mbona pana ufumbuzi hapa!
Tunayoomba mbona yako wazi na halali?