Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Sawa kiongoziNgoja waje kukupa Muongozo....Siku nyingine ukienda kutibiwa BEBA na mawasiliano ya wahusika ili ikusaidie huko mbele kama kipindi hiki
Uliacha kumuuliza daktari unakuja kuuliza humu jukwaani? Kuna shida sehemuWakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8 zimeisha hivi natakiwa nikae muda gani ili nirudi tena kuhakikisha kama nimepona?
Mkuu, huyo daktari kwa nini alitegemea kipimo cha damu tu? Ubaya wa kipimo cha damu ni kwamba huwezi kutofautisha kama una infection sasa hivi. Kitu wanachofanya kwenye kipimo cha damu ni ku-test antibodies za H-Pylori (kinga ya kupigana na hawa bacteria) kama unayo mwilini. Sasa kuwa na hizo antibodies ina maana either unao, au ulishaugua zamani na kupona na zimebakia tu antibodies. Kipimo wanachosema ni cha uhakika ni kile wanakupa chemical fulani unakunywa halafu unapewa mfuko wa nailoni unapumulia ndani wanaona kama hewa yako ina carbon dioxide, basi wanajua una hao bakteria. Au unapima choo. By the way Bongo nyoso. N hospital nyingi sana wanabambikia watu kuwa wana hawa bacteria bila kuwa nao. Ukweli ni kwamba wengi hawajui kupima sawasawa.Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8 zimeisha hivi natakiwa nikae muda gani ili nirudi tena kuhakikisha kama nimepona?
Nimeelewa vizuri sana ahsante kwa maelezo mazuriMkuu, huyo daktari kwa nini alitegemea kipimo cha damu tu? Ubaya wa kipimo cha damu ni kwamba huwezi kutofautisha kama una infection sasa hivi. Kitu wanachofanya kwenye kipimo cha damu ni ku-test antibodies za H-Pylori (kinga ya kupigana na hawa bacteria) kama unayo mwilini. Sasa kuwa na hizo antibodies ina maana either unao, au ulishaugua zamani na kupona na zimebakia tu antibodies. Kipimo wanachosema ni cha uhakika ni kile wanakupa chemical fulani unakunywa halafu unapewa mfuko wa nailoni unapumulia ndani wanaona kama hewa yako ina carbon dioxide, basi wanajua una hao bakteria. Au unapima choo. By the way Bongo nyoso. N hospital nyingi sana wanabambikia watu kuwa wana hawa bacteria bila kuwa nao. Ukweli ni kwamba wengi hawajui kupima sawasawa.
Kuhusu muda wa kupima tena ni wiki nne na kuendelea na ukipima damu inaweza kuonyesha unao wakati huna.
We nawe jau kweli jeneral gani una mambo ya kikeIli
Uliacha kumuuliza daktari unakuja kuuliza humu jukwaani? Kuna shida sehemu