Muda wa kukata roho marehemu hupatwa na mambo haya

Cha ajabu tendo la kufa unaona mchakato wake kama c kifo cha ajali au electrocuted yaani unaona na unajua kwamba sasa ndio naondoka milele na milele na lile neno amina ndio linatimia kwako
 
1. Macho kukosa uono anaona giza

2.Ubongo kuchanganyikiwa kwa hofu na kukosa oxygen

3.Moyo kusimama kabisa (hapa pana maumivu Makali mno)

4.Pumzi kukata kabisa hapa ndio mtu anatapatapa au kupumua kwa nguvu ili kuitafuta

5.Mifumo ya mawasiliano katika mwili kufa kabisa na hapa ubongo ukishasimama ndio total death!

Ni jambo lenye maumivu makali mno!!
Kwa ufupi
tapatalk_1548393142402.jpeg

Sent by anonymous user
 
1. Macho kukosa uono anaona giza

2.Ubongo kuchanganyikiwa kwa hofu na kukosa oxygen

3.Moyo kusimama kabisa (hapa pana maumivu Makali mno)

4.Pumzi kukata kabisa hapa ndio mtu anatapatapa au kupumua kwa nguvu ili kuitafuta

5.Mifumo ya mawasiliano katika mwili kufa kabisa na hapa ubongo ukishasimama ndio total death!

Ni jambo lenye maumivu makali mno!!
Jamani hizi theory nyingine mnazitoaga wapi?
Kifo ni jambo ambalo hakuna mwanadamu hai amewahi kukutana nalo, we yote hayo umeyajuaje?
Tusubiri tu zamu zetu zifike yatakayo kuwepo tupambane nayo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mbona tunatishana ndio nn tena???!!!! we mwache kila mtu anakufa kivyake mkuu daaah sio binadamu wote wanapitia hatua hizo wakati wa kufa
 
Back
Top Bottom