Muda utakaeweza kuzoeana na baba yako

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

*Muda pekee unaoweza kumzoea baba ako ni pale unapomfundisha kutumia smartphone,*
*Wanakuaga wapole yan unaweza kumtuma hata maji ya kunywa akaleta*
emoji134.png
‍♂
emoji134.png
‍♂
emoji134.png
‍♂
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
POLE SANA MKUU INA ELEKEA MZEE WAKO NI MKALI SANA KIASI UMETAMANI UMTUME MAJI PALE UNAPO MFUNDISHA KUTUMIA SMARTPHONE!
Marehemu mpendwa baba yangu alikuwa kama rafiki kwangu muda wote.
 
POLE SANA MKUU INA ELEKEA MZEE WAKO NI MKALI SANA KIASI UMETAMANI UMTUME MAJI PALE UNAPO MFUNDISHA KUTUMIA SMARTPHONE!
Marehemu mpendwa baba yangu alikuwa kama rafiki kwangu muda wote.
Ndo maana akafa maana hana sifa zakua baba, baba atatumwaje maji nawatoto
 
Back
Top Bottom