Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,311
- 2,157
Habari wana JamiiForums
Niende moja kwa moja kwenye hoja. Naona muda muafaka wa upande wa pili kuongoza Nchi ni sasa. Na hii tuanze 2019 ktk uchaguzi wa serikali za mitaa na baadae tunyang'anye wabunge kwa 60%.
Suala la msingi tu ni kujiuliza, nani abebe bendera ya CHADEMA na kuuzika kwa zaidi ya asilimia 70? Muelekeo wa CHADEMA kushinda na kuchukua Nchi 2020 unaonekana wazi kwa kuwa Serikali iliopo hakuna hata moja la maana ililofanya mpaka sasa.
Ni muhimu tukajiandaa na kujipanga ili kutekeleza takwa hili. Ni nani tumuweke 2020 atakaeuzika na kutuongoza vizuri? Maana hakuna ubishi, CHADEMA itashinda ila tutahitaji Mgombea ambae hatutakuwa na mashaka nae.
Je, ni Shujaa Lissu, Mbowe, Lowassa, Heche, Sugu, Lema au ni nani??????
Nawasilisha, peopleeeeeeeeeeeeess.....!