Muda si mrefu tutasikia wanaosambaza hizi picha wamekamatwa

Sioni kesi hapo zaidi ya kamanda wa dom atambue kuwa yeye ni maarufu kwa sasa hapa tz na nje

Ova
 
Mngejua raha aliyoipata huyo Beatrice picha yake kutrend mtandaoni mngeacha kumpa kik
 
jamaa hapo alipo ukimkurupusha fasta ukamuuliza "silaha yako iko wap?" nakuambia atashka dudu
 
Tabasamu lake zuri.

Awamu hii inanipa raha sana
Tunatambua viongozi tunao hadi raha hadi kuwafatilia na kujifunza mengi kutoka kwao

Magufuli oyeeeeee
 
Back
Top Bottom