RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,460
- 135,200
Niko na mchepuko na rafiki zake wa wili yan wako kama komba wanagida mvinyo kama wametukania leo.Mpaka saa hizi saa23:00 pm. Wameshatafuna laki unusu yani 150,000/
Na bado wanaonesha wako hai na mimi nimebakiwa na 8300/ sa sijui nile kudadadeki. Yani 80% ya mshahara ushapotea na leo ndio tarehe 30, ishakula kwangu yani hata pombe haishuki. Alaf unaona kama wamenishtukia kua salio limekata maana wanatumianamessage tu, nawaona.
mbona hizi mimi huwa hazinitokei??!! inawezekana ni kwasababu wanawake ninaowachukua
1.sio waswahili kiasi cha kufanya hivyo
2.sura yangu ngumu inawaogopesha kuthubutu huo ujinga
3.wananiona nimechoka kiasi wanajua wakija timu wataishia kulipa wenyewe au nitawaachia nyayo tu!