Muda si mrefu nadhalilika hapa Nyama Choma

Muda si mrefu nadhalilika hapa Nyama Choma

Mi naona hii ni matokeo ya kumganda mtu
utadhani wanawake wameisha mjini.
binti anakwambia hakutaki wee umo tu,
anakwambia ana mtu,unamkazia mimacho
na kusema tukutane jioni ili tuzungumze vizuri.
ukimchosha,anakufanyia kitu inaitwa
''kwa mfano'' na ndo hicho kilikutokea kaka.
Kesho yake lazima tukukute jf.

Naamini mmenisoma,kabla mabinti
hawajajirekebisha tuanze sisi wanaume
kuwa wastaarabu,mtu hakutaki
chukua zako 50.Mwachie 50 zake.

Na huyo binti kakufanyia ubinadamu,
ukisoma sheria ya makosa ya kujamiiana
utakuta kumganda mtu ni kosa kama kubaka vile
sasa hawa wanaowaletea mpaka ndugu zao
kula lunch wanawaepusheni na jera.
 
Hahaa asee umenchekesha san ulposema wanakula kaa komba. Navuta picha komba alivyo busy wakat anakula..
 
kzba

Umechukua wa uswazi sana ambao hawana haya ukimwalika anakuja na lundo la watu.

Nipo jirani hapa njoo nikupe tafu.
 
Last edited by a moderator:
kzba

Hahahahahaha man umenitegua mbavu! Dah! Natamani story yako ingekuwa hata kurasa nane!
 
Last edited by a moderator:
...

....hii mambo huwa tunatembea na funguo za buruwariz ikijifanya kujuwa kunywa maji ya kisima kwa fujo tunamfungulia Pacific

Nilifanyaga hivyo mie kaka kumbe na wao wana yao, nikataka kutoroka bahati mbaya wakanistukia babu nilikula kichapo hadi wakanichania shati, kufika him tena wife kaleta balaa jingine we acha tu kaka! Ila siku hizi nawakomoa sana nawekakaga nyagi kila mtu limzinga lake na fegi!
 
We hao watatu unapiga kelele.niliwahi kudate mcheza show wa ngwasuma miaka hiyo,siku ya kwanza kaniita mazoezini pale chezo ntemba kino.walikula km Jiwe 3 hivi.maana bendi nzima ilikua km nimefadhili.pombe na msosi.mda wa kulipa ilibidi nimuite mshkaji aokoe jahazi na yeye alipofika hazikutosha kulipa bill.ikaishia tukaacha simu ili tumalizie deni usiku.
lakini baada ya hapo huyo kicheche nilimkopa saana tu.ilikua ni mwendo wa sound miaka kibao.ila mazoezini kwao sikukanyaga tena.
 
:alien:Ulpomwalika ilikuw siri yenu sasa kinanuka ndio unapiga baragumu KIAZI KABISA WEWE. cha kufanya binya simu yako iite kisha nyanyuka kisailensa kwenda kusikiliza simu . Ukishindwa tena hapi utakuwa anaza ----. Bye.:alien:
 
Ungetoka na mkeo hata twenty usingemaliza
 
Back
Top Bottom