abby-msweet
Senior Member
- Apr 30, 2015
- 158
- 76
😀😀😀😀😀 hahahahaha maji ukiyavulia nguo.... mambo mengne mnayataka wenyewe. Ila pole sana mkuu
Safi...
Hiv tabia za mabinti kubebana bebana shida ni nini jaman! ?
kuna jamaa jana humu jf alikua natukio kama lako aka escape from sobibo hata bill yake akailipa dem sasa we onesha ustaa,. uone
Hiv tabia za mabinti kubebana bebana shida ni nini jaman! ?
Mm yalinikuta haya!
Siku ya kwanza ya date demu akaja na marafiki zake 3 na kaka yake mdogo ambaye kaja kuchukua take away kwa ajili ya mama yao!
Ya kweli hayo au...?
Hiyo misala mbona wengine huwa haitupati...?
Watoto au wa uswekeni hao.....
hivi ninyi hao wanawake vilaza hivyo mnawapatiaga wapiiiiii? huwa mi hainiingii akilini bf wangu kaniita somewhere nibebe mashoga zangu kweli , huo ni kama ushangingi flani hivi.
yaan huyo rafiki atalia machozi ya damu siendi naye kwanza mnakosa uhuru wa malovee jaman nsikulishe kipande cha nyama wametoa macho? kwanza mambo ya ushoga saaana kwenye mapenzi yanaletaka unafiki sana hao ni rahisi kuwagombanisha aisee marafiki wapeni nafasi ndogo sana kwenye mapenzi mtakuja lia siku watawasambaratisha kabisa