Muda si mrefu nadhalilika hapa Nyama Choma

Muda si mrefu nadhalilika hapa Nyama Choma

Mademu wengi wa Dar wanapenda kukomesha wanaume, hawana huruma kabisa...dawa hapo unatafuna mmoja mmoja mpaka uwamalize wote...

Enzi hizo imewahi kunitokea hivyo nikasepa nikamuachia bill demu wangu na wenzie walipe, na ndio ukawa mwisho wa mm na yy!
 
kzba

Mingombe haitakaa iishe bongo sasa ww unawanunulia ww baba yao?
 
Last edited by a moderator:
We nawe njaa kali. Wenzako wanafadhili timu za Yanga, Simba na Azam na wala hawapigi kelele. Duh kweli tunatofautiana kwa kipato!
 
Maboya km nyie huwa mnachunwa tu kijinga jinga..jitathmini upya
 
Mm yalinikuta haya!
Siku ya kwanza ya date demu akaja na marafiki zake 3 na kaka yake mdogo ambaye kaja kuchukua take away kwa ajili ya mama yao!

Nilikuja na elfu 35 ziliisha kuwalipia bajaji tu!Nikawaambia ukweli sina kitu hela zoye zimeishia kwenye ussfiri walinitukana sana

Nikatoka kwa mguu toka date place Buguruni hadi home Mabibo

...nimecheka saana mkuu,.ila dah!! Pole saaana!!hihihihihihiiiiiii
 
Haya tupe mrejesho kama ulilipa bili au ulitimka bila kulipa
 
Ungelienda na mkeo hata elfu 50 asingeimaliza mana anajua unapataje sasa hao si msala
 
Kila mtu alipe kulingana na alivyotumia hapo
 
Pole kaka nimechelewa kulog in,ningekuja kusaidia hayo madhira
 
Kuna njemba ilipanga appointment ya namna hiyo,demu akaja na rafiki zake watatu.Wakapiga kilaji kwa kwenda mbele kuanzia saa nane mchana hadi saa nne usiku.Kudadeki wkt jamaa analetewa bill akamwambia mhudumu alete bill yake na ya girl friend wake,na wengine watajilipia wenyewe.Wale mashosti walitoa macho kama wanachinjwa!
 
Mpaka mkome kuchepuka chepuka ovyo. Chepuka kwa utaratibu, mtu anakujia na rafiki wawili yaani hapo upo kazini na wala sio kwenye starehe.
 
Back
Top Bottom