Muda sahihi kwa mtu kwenda aja kubwa baada ya masaa mangapi au siku ngapi kiafya

Midumare Ngatuni Iwato

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
1,653
2,038
Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama

Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa

Je asubuhi au mchana au usiku na baada ya Masaa mangapi kwenda Ajakubwa.
Asanteni naombeni ushauri
 
Binadamu mwenye afya yake timilifu lazima aende aja kubwa mara 3 au zaidi kwa siku!vinginevyo utakuwa na matatizo!subria wataalamu waje lakini!n mtazamo wangu!
 
Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama
Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa
Je asubuhi au mchana au usiku na baada ya Masaa mangapi kwenda Ajakubwa.
Asanteni naombeni ushauri

Ukibamwa mavi, huo ndo muda sahibi wa kwenda!
 
Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama
Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa
Je asubuhi au mchana au usiku na baada ya Masaa mangapi kwenda Ajakubwa.
Asanteni naombeni ushauri
Subiri upate mvurugiko wa tumbo ndo utajipangia muda wa kwenda kuharisha
 
Kisayansi mara 3, ila watanzania wengi wanaenda mara 2 kwa sababu wanajazaga matumbo hawali chakula
 
Kwa maisha ya sasa ukienda mara mbili unashukuru maana umekula vizuri, wengi ni mara moja tu

Maana asubuhi unakula chapati au slice mbili na chai mchana sembe na dagaa mchele wa buku usiku kiepe na soda utegemee uende mara tatu huwezi ni mara moja tu tena choo kigumu maana maji ya kunywa wengi hatunywi

Ila kwa kawaida ni mara tatu ukila vizuri
 
Ukila chakula utaenda Mara 2 ila ukijaza tumbo ni Mara 3 hata zaidi
 
Kwa maisha ya sasa ukienda mara mbili unashukuru maana umekula vizuri, wengi ni mara moja tu

Maana asubuhi unakula chapati au slice mbili na chai mchana sembe na dagaa mchele wa buku usiku kiepe na soda utegemee uende mara tatu huwezi ni mara moja tu tena choo kigumu maana maji ya kunywa wengi hatunywi

Ila kwa kawaida ni mara tatu ukila vizuri

Eti kiepe...
 
Mimi toka nizaliwe nasema kweli jamani
Toka nipate Akili sijawai kwenda choo chakawaida Mara mbili au tatu
Mimi no maramoja kwa siku au Mara moja kwa masaa 72,mfano hapa toka Jana asubhi sijaenda Ajakubwa
Nakula vema kbsa
Sijui Tatizo nini
Naombeni msaada wenu sana ndugu zangu
 
Kama haikusumbui na hupati maumivu ya Tumbo huo ndio mfumo wako wa kutoa uchafu mwilini.
 
Asante sana,maana awa wanaokwenda maratatu kwa Siku nashangaa sana,ila nikienda nakaa kama Dakika Kumi ndio namaliza taratibu zangu zote zakawaida
 
Back
Top Bottom