Muda ni kitu gani?

Trust me, bro People who match your vibe do exist don't let your own mind convince you otherwise they're out there you just haven't met them yet keep believing in yourself.

And you deserve all good you dreaming about ✨
Kwani ana shida gani huyu mdau😎
 
Ukizungumzia muda zingatia pia wakati.
Ili unapotoa muda wako angalia pia kama wakati unakuruhusu!
 
Nilinunua kila nilichotaka kwa mda ule😅 ila haikunitosha nikimtaka na huyo anaetoa hela

Mapenzi hayatuui ila cha moto tutakiona hasa sisi wenye moyo safi
Biblia inatambua uwepo wenu. 😀😀

Heri wenye moyo safi, hao watamwona Bwana!
 
Time is just an Illusion. Kwa kimatumbi tunaweza kusema muda ni mawazo tu au fikra tulizozijenga akilini mwetu ambazo hazina ukweli wowote.

Muda hauna uhusiano wowote na matukio, bali muda ni dhana tu ya kisomi iliyobuniwa inayotumika kuelezea mpishano wa matukio. Yaani muda ni dhana tu akilini mwetu, kusipokuwepo kitendo muda hauwezi kuwepo.

Muda hupimwa kwenye nafasi(space) ambamo ndimo matukio hutokea. Matukio au vitendo hivyo ni kama vile, Usiku au Mchana, asubuhi, jioni, kuzaliwa – ukuaji – kuzeeka – mpaka kifo. Muda hauishi sehemu yoyote na hauwezi kujitegemea.

Umenikumbusha somo la physics sekondari mambo ya theory of relativity ya bwana albert estein
 
Time is just an Illusion. Kwa kimatumbi tunaweza kusema muda ni mawazo tu au fikra tulizozijenga akilini mwetu ambazo hazina ukweli wowote.
Aisee muda 🤔
Shukrani kaka 🙏🙏
Umenikumbusha somo la physics sekondari mambo ya theory of relativity ya bwana albert estein
Nimekurudisha school
 
Natafuta Ajira pita na kwa huyu mdau
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nimecheka kwa sautii lol 😆
Mbavu zangu
So mie mbinguni 🏃‍♀️
Mbinguni moja kwa moja 😀😀
Hiyo ni neema ya upendeleo ambayo wengi wamekosa!

Too bad hii dunia ya mapenzi inawachukulia for granted.
 
Natafuta Ajira pita na kwa huyu mdau
Muda ni mada ndefu sana na theory nyingi zimeelezea kuhusu muda. Katika comment yangu nime-base kwenye theory of relativity ya albert eistein.

Isaac Newton nae alishawahi kuongea kusema kuhusu "muda". Alituambia muda ni kitu ambacho kinajitegemea na ni sehemu ya umbo la ulimwengu ambamo ndipo matukio utokea, yaani mtukio yanatokea ndani ya mstari wa muda ambao tayari upo.

Halafu kuna wazee wa time travel. Wanakwambia muda ni spidi ambayo unaenda nayo kulingana na spidi ya mwanga, yaani kadili unavyoenda kwa spidi ndogo kulingana na spidi ya mwanga ndivyo muda unaenda haraka, na kadili unavyoikaribia spidi ya mwanga muda unaenda taratibu.

Vipi kama ukienda kwa spidi inayolingana na spidi ya mwanga? maana yake kwako hakutakua na muda, ni kama tusema muda utakua umesimama. Vipi ukienda kwa spidi kubwa zaidi ya spidi ya mwanga? maana yake utakua mbele ya muda yaani ni kama matukio yanakua yanarudi nyuma.

Physics ni kisanga. Wazazi na walimu walinisisitiza sana alevel nisome sayansi kwa sababu nilikua nafaulu. Nikawaambia hapana naenda EGM
 
Natamani kama kuna vingine uendelee kuandika nimevutiwa sana
 
Aiseeee 🤔🤔🤔🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…