Muda mwingne bora kuwa single kuliko kuwa na mtu asiyekusikiliza

Kumbe siyo mimi tu ninayegombana na mke wangu. Vumilieni mmeumbwa tofauti . hata vikombe na vijiko vinagongana kabatini sembuse nyie binadamu.? Ni upepo tu yatapita. Ukiniona mimi na my wife kwa sasa utasema ndoa ndio hii.ngoja tuliamshe dude sasa. Hahahahahhah nimefungukaaaaaaaaa
Aisee huu mchezo usipokua mvumiliv unaweza kujikuta unaishi single mazima ndio ndoa zetu inabidi tuvumiliane asante mkuu kwa comment yako
 
Kinachonisibu ni kwamba naishi na mume wangu na tumefunga naye ndoa sasa huyu mume ni mtu mwenye hasira za karibu sana

Jana kuna jambo lake aliniletea nami kama mke wake nikamshauri vizuri tu daah kumbe mwenzangu hapendi kukosolewa yeye anapenda kusifiwa tu hata kama siyo kitu cha kusifiwa akawa kanimind kanitolea maneno mabaya sana yakuumiza moyo

Nami kama binadamu nikamlipizia sasa kwa hasira kaondoka nyumban hakurudi na ana tabia mkigombana tu anataka aondoke alale huko huko

Kiukweli moyo wangu unaniuma sana sijui kama safari yangu na huyu jamaa kama tutafika mwisho. Hebu nishaurini huyu mtu ana upendo na mimi au nimpotezee nifanye tu maisha yangu.
Wewe hujamshauri bali umemkosoa, kwa mujibu wa maelezo yako. Biblia inasema: Kama vile Kanisa limtiivyo Kristo, vivohivyo enyi wake watiini waume zenu katika kila jambo.
Angalia approach yako kwa mumeo yawezekana unaongea kwa lengo la kubishana naye, kujionesha wazi kuwa unajua zaidi yake huku ukijua kuwa mumeo ni kichwa... Wanaume wengi hawataki approach za namna hiyo vinginevyo utaolewa na mwingine naye atakuacha au utamwacha pia!
 
Tabia ya kupimana uwezo na mumeo ikome, umesema anajiona special? ndio tabia za kiume. wewe unataka umtawale bila shaka. na ukiendelea hivi ni bora ujipange kutengana nae mapema ili baadae utafute boya akuoe
Hapo umenena mkuu,
 
Mbaya sana unapokuwa na mume asiyetaka kushaurika.

Ila shida itakuwa imeanzia chini wakati mnaanza mahusiano haukujijengea tabia ya kupinga alichokuwa anakisema na hiyo ndio imesababisha ajione amekamilika hawezi kuwa na mapungufu.
pia na liugha ya kukosoa uangalie unamkosoa mwanao au mume/mkeo!!
 
HAO SINGO WANATAFUTA MTU WA KUMPIGIA MAKELELE NA KUMUONGOZA
Kinachonisibu ni kwamba naishi na mume wangu na tumefunga naye ndoa sasa huyu mume ni mtu mwenye hasira za karibu sana

Jana kuna jambo lake aliniletea nami kama mke wake nikamshauri vizuri tu daah kumbe mwenzangu hapendi kukosolewa yeye anapenda kusifiwa tu hata kama siyo kitu cha kusifiwa akawa kanimind kanitolea maneno mabaya sana yakuumiza moyo

Nami kama binadamu nikamlipizia sasa kwa hasira kaondoka nyumban hakurudi na ana tabia mkigombana tu anataka aondoke alale huko huko

Kiukweli moyo wangu unaniuma sana sijui kama safari yangu na huyu jamaa kama tutafika mwisho. Hebu nishaurini huyu mtu ana upendo na mimi au nimpotezee nifanye tu maisha yangu.
 
Ni bora akikasirika ujishushe la sivyo mtaachana siku sio nyingi. Akipanda shuka then baadae akipoa mwanzishie.

Halafu huyo hana hasira mbona hata kakofi hakukulamba. Njoo huku uone maasai tunavyokasirika. Nikikasirika siwezi kuongea na ukiwa karibu yangu shika uso lolote linaweza kutokea
Hivi huyu jamaa atakua anakwenda kulala wapi? Haihitaji Degree kujua uovu wa huyu bwana
 
Ulichokisema ni sahihi,ni kweli ni kazi sana kuishi na mwenza asiyekusikiliza hata pale unapojaribu kuokoa kitu kwa kumpa ushauri mbadala
Lakini umekosea kukata tamaa na kumruhusu zaidi ya mara moja bila kuchukua hatua akalale anakokujua kisa tu mmegombana,chukua hatua ili ujue analala wapi mnapotofautiana,ipo siku utasema ni kawaida yake lakini kumbe mwenzio kashikwa na matatizo kwa kuvamiwa etc.
Usikate tamaa muda bado upo na jitahidi sana kuepusha Shari ya kujibishana nae ukiona anawaka bora ukae kimya na ikibidi muombe tu radhi ili pale anachokianzisha kitakapobuma ataona umuhimu wa Mawazo yako mbadala
 
Asante kwa yshauri wako mamy
 
Singo gani unayemjua anataka mtu wa kumpigia makelele?
huwezi mtandaoni ukamention mtu ila kimsingi ni kwamba hayo makelele wengine ndo mahaba yao,tofauti ya malezi,mitazamo,makuzi inatufanya tutofautiane na tuchukulie maisha ktk namna tofauti
 
huwezi mtandaoni ukamention mtu ila kimsingi ni kwamba hayo makelele wengine ndo mahaba yao,tofauti ya malezi,mitazamo,makuzi inatufanya tutofautiane na tuchukulie maisha ktk namna tofauti

Watakuwa wa kanda maalum hao. Basi sawa.
 
Back
Top Bottom