Muda mwingne bora kuwa single kuliko kuwa na mtu asiyekusikiliza

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
32,341
2,000
Ni bora akikasirika ujishushe la sivyo mtaachana siku sio nyingi. Akipanda shuka then baadae akipoa mwanzishie.

Halafu huyo hana hasira mbona hata kakofi hakukulamba. Njoo huku uone maasai tunavyokasirika. Nikikasirika siwezi kuongea na ukiwa karibu yangu shika uso lolote linaweza kutokea
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,038
2,000
Kaeni muondoe tofauti zenu. hukufanya vizuri ulipaamua kulipiza. Cha msingi ungemwelewesha tu angekuelewa. kama mkiendelea kuishi namna hiyo hamtafika mbali. jipangeni, mmoja akikosea inabidi awe mpole tu
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
37,046
2,000
Mbaya sana unapokuwa na mume asiyetaka kushaurika.

Ila shida itakuwa imeanzia chini wakati mnaanza mahusiano haukujijengea tabia ya kupinga alichokuwa anakisema na hiyo ndio imesababisha ajione amekamilika hawezi kuwa na mapungufu.
 
super model

JF-Expert Member
May 1, 2017
307
500
Mume na mke wake, Ndoa na changamoto zake. Ikiwa mmefunga ndoa kanisani mimi sidhani kama itakua busara kupotezeana kwa changamoto hizo. Cha msingi mtafute suluhu mambo yaishe. Bado sijaona sababu ya kukatisha ndoa hiyo.
Nashukuru kwa busara zako ila mkuu kilichoniuma ni pale alipoondoka nakwenda kulala huko huko hiyo tabia cyo mara ya kwanza mkuu
Ni bora akikasirika ujishushe la sivyo mtaachana siku sio nyingi. Akipanda shuka then baadae akipoa mwanzishie.

Halafu huyo hana hasira mbona hata kakofi hakukulamba. Njoo huku uone maasai tunavyokasirika. Nikikasirika siwezi kuongea na ukiwa karibu yangu shika uso lolote linaweza kutokea
 
super model

JF-Expert Member
May 1, 2017
307
500
Ni bora akikasirika ujishushe la sivyo mtaachana siku sio nyingi. Akipanda shuka then baadae akipoa mwanzishie.

Halafu huyo hana hasira mbona hata kakofi hakukulamba. Njoo huku uone maasai tunavyokasirika. Nikikasirika siwezi kuongea na ukiwa karibu yangu shika uso lolote linaweza kutokea
Mkuu ckuzote hasira ni hasra cyo busra kwa mwanaume kupaniki vitu vidogo hapo hajengi ila anabomoa
 
super model

JF-Expert Member
May 1, 2017
307
500
Kaeni muondoe tofauti zenu. hukufanya vizuri ulipaamua kulipiza. Cha msingi ungemwelewesha tu angekuelewa. kama mkiendelea kuishi namna hiyo hamtafika mbali. jipangeni, mmoja akikosea inabidi awe mpole tu
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,694
2,000
Kinachonisibu ni kwamba naishi na mme wangu na tumefunga nae ndoa asa huyu mme ni mtu mwenye hasira za karibu sana jana kuna jambo lake aliniletea nami kama mke wake nikamshauri vzr tu daah kumbe mwenzangu apendi kukosolewa yy anapenda kusifiwa tu ata kama cyo kitu cha kusifiwa akawa kanimind kanitolea maneno mabya sana yakuumiza moyo nami kama binadamu nikamlipizia asa kwa hasira kaondoka nyumbn hakurudi na anatabia mkigombna tu anataka aondoke alale huko huko kiukweli moyo wangu unaniuma sana cjui kama safari yangu na huyu jamaa kama tutafika mwisho hebu hebu nishaurin huyu mtu anaupendo na mm au nimpotezee nifanye tu maisha yangu
Njoo kwangu tuungane cuz na mimi wife ananizingua sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom