Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Msisahau kufunga mikanda jirani...
Jirani kwa dereva huyu sifungi ng'o!! Ili iwe rahisi kuruka.
Msisahau kufunga mikanda jirani...
Hivi mkuu shule bado hazijaanza kufunguliwa? Naona kama jukwaa limekaa ki boys boarding school flani hivi.
Afadhali vya kike vimetulia. hivi vivulana ndo vinasumbua sana. sijui ndo vina balehe?
Tena vitoto vyenyewe ni vya balehe changa ...!!!!!!!
Sista usiwe na hofu, kuhusu shule nipo Sawa, I'm my teacher's best student
Sista usiwe na hofu, kuhusu shule nipo Sawa, I'm my teacher's best student
Jirani kwa dereva huyu sifungi ng'o!! Ili iwe rahisi kuruka.
Mi maxima besti.... Mbona umepotea sana? Au Shemeji kakubana
Hebu kamata hata ka kuku au ka bata hapo jirani yako upunguze hiyo makitu..!!!!!!
kimbia shule haraka nyambafu