Muda muafaka kisayansi wa kugegeda

Muda muafaka kisayansi wa kugegeda

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Ndugu washika dau

Ni Yule Yule kidume wa miaka 24, tangu nimetahiriwa miezi mitatu iliyopita nimekuwa na minyege balaa, sina muda maalum wa kugegeda, yaani muda wowote iwe asubuhi, mchana, jioni, usiku, sasa nimesikia kwamba kuna wakati kitaalamu haufai kugegeda, sasa washika dau hebu nijuzeni kitaalamu ni muda upi muafaka wa kupakua.

Kwa unyenyekevu naomba kuwakilisha
 
Hebu kamata hata ka kuku au ka bata hapo jirani yako upunguze hiyo makitu..!!!!!!
 
bado hujabadili umri 2? mbona mwaka umepnduka tayar, o wangoja mpaka mwez na tar ulozaliwa ndo uwe 25? Maana tangu umeanza ni 24
 
Hivi mkuu shule bado hazijaanza kufunguliwa? Naona kama jukwaa limekaa ki boys boarding school flani hivi.

Yaani mkuu nimeshapata hasira hapa kidogo nivunje haka ka monitor kangu ka mkopo .....
Nahama kwa muda huenda pakabadilika!!!!!!!:frusty::frusty:
 
Duh! Ngoja nielekee jukwaa langu kule chini kabisa!!
 
Yaani mkuu nimeshapata hasira hapa kidogo nivunje haka ka monitor kangu ka mkopo .....
Nahama kwa muda huenda pakabadilika!!!!!!!:frusty::frusty:

Yani threads zimekuwa majanga. Viswali vya kitoto. Dah
 
Hivi mkuu shule bado hazijaanza kufunguliwa? Naona kama jukwaa limekaa ki boys boarding school flani hivi.

wanavuta kidogo.... sasa sijui siku hizi hakuna adhabu kwa late comers?
 
komaa na shule dogo...tafuta maisha kwanza..hayo ya kugegeda yatakuua siku si zako oohoooo!!!

Sista usiwe na hofu, kuhusu shule nipo Sawa, I'm my teacher's best student
 
Shkamoo. Twende ride na bajaji.

Afadhali umekuja. Ngoja nibadili tairi za bajaji niweke za trekta. Si unajua ride yetu si ya kitoto? Usalama kwanza lol

BTW nimemisi naniliu yako. hebu do the needful.
 
Back
Top Bottom