yani nitafurahi kuonyesha mikono yangu...
Kumbe una mikono
nikifanya kosa huwa nahisi mtu anaweza hisi ni fimbo akavunja akanichapia....
Wacha sisi wastaarabu watushangae
Nguo za kustiri mwili zitakuwa hazipo madukani na wewe utavaa izoizo
Mashuka yapo tutaenda kushonesha