Muda mfupi ujao,ukivaa nguo watu watakushangaa.

Muda mfupi ujao,ukivaa nguo watu watakushangaa.

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kutokana na ongezeko kubwa la watanzania(wakubwa na wadogo),kuvaa mavazi yanayoacha nje sehemu kubwa ya miili yao kama makalio,matiti.mapaja naona muda si mrefu kundi hili litaibuka washindi na itafika wakati wewe utakaevaa nguo za heshima ndo utaonekana kituko na watu watakushangaa.

Wapi inaelekea jamii ya leo.
 
Ndugu yangu we acha tu! Yaani siku hizi hasa wadada wamezidi kuna zile suruali zao za kubebea makalio kila mmoja mjini ndio vazi.
 
Naona bora tu tutembee uchi tushangaane vibamia na vipapuchi.:bange::banplease:
 
hivi ile mnayoita evolution huwa ni linear au mzunguko!?
 
Wacha sisi wastaarabu watushangae

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
tunarudi tulikotoka kutembea uchi

Naona wakati huo uchelewe kidogo angalau tukamilishe mchakato wa katiba mpya bungeni,maana sipati picha hali itakavyokua mule ni Kuufyata na kuufyatua mipasho itahamia ktk viungo vya mwili.
 
Ila kiukweli hasa hawa dada zetu, wanaaibisha.. Unamkuta mtu kwa jinsi alivyo vaa unaanza kuona aibu wewe unaemtizama. Aibu sana.. Halafu haohao wanalalamika hawaolewi!
 
Kutokana na ongezeko kubwa la watanzania(wakubwa na wadogo),kuvaa mavazi yanayoacha nje sehemu kubwa ya miili yao kama makalio,matiti.mapaja naona muda si mrefu kundi hili litaibuka washindi na itafika wakati wewe utakaevaa nguo za heshima ndo utaonekana kituko na watu watakushangaa.

Wapi inaelekea jamii ya leo.

Sisi wastarabu tunasubiri katiba mpya kwanza ipitisha SHARIA itakayozuia mavazi hayo, tutapambana na hao wanaoshindilia ma.ta.ko yao kwenye soks mpaka watakoma
 
Back
Top Bottom