Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Japo hamnijui kivile,

Huu uzi niliutamani toka kipindi kile,
Kabla hatujavamiwa na wapuuzi wale,
Hip hop nilianza nikiwa shule,
Sio kaka kipande aliyeanza kwa kusuka nywele,
Au the boss anayevamia train kwa mbele,
Mi ndo mkufunzi wa afande sele,
Msidanganyike na ukubwa wa KUFULI, funguo ni zile zile!!
Yo!
 
Mvumbo ni mfalme, kwenye hizi ngumu nyeusi

Mpumbavu usishike sime, kwenye hii vita ya mrusi

Nna hasira ka' mbwa dume, aliyemuona pusi

Sasa simama kiume, navuma kama upepo wa kusi

Sipendi kuchana maana, nikichana ni hot

Nawabana kila kona, kama tangazo la joti

Ni wepesi nikiwapima, kama sufi kwenye mawe

Najiuliza ni vipi wanasimama, na kujitoa sandakalawe
 
The rap Legend, Mkongwe wa hizi zama

Wapinzani mko period, mnavuja na kuleta drama

mtengwa ni fumbo, Mvumbo huwezi fumbua

Bila ya tambo, mwenye rambo, usecheze na mua

Mkubwa hela, sio diwani wa Kilungule

Bishoo mpenda kula, hii ni menu ya misukule
 
Last edited by a moderator:

Mtengwa umetengwa, hip hop usithubutu

Hii sio pwani ya kiwengwa, usiimbe kiduku

Mvumbo ngoma nzito, tazama usije lalama

Maana nikianza battle, nakufanya Fukushima

Rout zako ni fupi, usipambane na rocket

Changu usivue chupi, pesa yangu ina bajeti
 
Niko Makini bila a.k.a, snitch don't bother

Una hate leo si chuki day, whats wrong brother

Mtengwa kama Chindo, nawakilisha Kijenge Juu

Eti @Mvungo uko windo, awamu ya tano ni kazi tu

Legea upigwe jando, uwekwe kando ka sista du
 
Ujafika moja we ni tatu, kilinge unakililia

Mbwa unamchokoza chatu, ukidhani atakuhurumia

Umeshacheza upatu, ulichotaka unakipokea

Ewe demu wa kibantu, pesa haiji kwa kuikalia

Mvumbo ni master unadata, wakati unajengwa

Wanakutaka unanata, kisha unajiita Mtengwa
 
Mtengwa ni upepo mbaya, kaa pembeni utadondosha

Sitishwi na wavuta kaya, iwe cha dom au cha arusha

@Mvumbi keki ya taifa, nammega kama fisadi

Kwa bonta utapata maarifa, kwangu ni magoli yasiyo na idadi
 
Naona wakongwe wamejaa kwa hili jamvi,
Naona vigingi walokula nyingi chumvi,
Wanatema madini vichwani watele mvi,
Nilisizi, muda umefika nimezinduka,
Sasa jishike, jikaze laa sivyo utaanguka,
Kimenuka, sasa moshi unafuka,
Watu hawaonani jinsi kulivyochafuka,
Ila hawagongani japo wanapepesuka,
Haa!
Nishapata pakukaa jamvi bado halijajaa,
Wapo walonizibia wakidhani ntakufa njaa,
Wakasahau ananilinda aliyejuu hana rufaa,
Yeye ndo Mungu mkuu wanamwita Haile jah,
Hukumu anatoa yeye kama kufa au kupaa,
Tofauti anajua yeye mi ni ndizi we tufaa,
Hili jamvi ni balaa ukiwa mwoga we utakaa,
 
Mtengwa ni upepo mbaya, kaa pembeni utadondosha

Sitishwi na wavuta kaya, iwe cha dom au cha arusha

@Mvumbi keki ya taifa, nammega kama fisadi

Kwa bonta utapata maarifa, kwangu ni magoli yasiyo na idadi

Naelewa una usongo, ila huwezi kukaa hapa

Naona unanipa mgongo, mithili ya logo ya kappa

Kila nnapotema nondo, unajibu skrepa

Unadondoka ka kimondo, kila nnapokuchapa

Mimi ni nyangumi, nitakutafuna konokono

Na usitegemee uchumi, kwa kutingisha viuno
 
Twisted my ankle man, truth be told, it ain't none to *** with/
Never been through labor pain, but from what I've heard, I would tell it ain't got sh!t/
Now waiting for sleep in vain, believe whatchu heard, insomnia is the real b!tch/
The hell I'm in, can't be explained, no matter how dope I be the Poet/
 
So who's da best, in this contest, let it be clear and crystal/
That one Poet, who's tha dopest, no one else on the same pedestal/
He doesn't stress, he can blast, spit all sense in a lyrical/
When on tha mic, then no doubt, the crowd go maniacal/
 
Those who claim hip-hop is dead, are them ones that lost the plot/
They done fcuked up they deed, you know land of the lost/
Stuck in what they did, forgetting about the present/
Talking about some legend, man we're past that past/
 
I want to know your speed. And energy intake when you rap. I want to assure myself.... to see you physical. Or by any means but other factors to remain constant. Whats up?
 
I want to know your speed. And energy intake when you rap. I want to assure myself.... to see you physical. Or by any means but other factors to remain constant. Whats up?
I can write rhymes and all, but I can't spit at all. Not nowadays. I'm like the Mobb Deep, I don't have the aggressive look I lay rhymes with.
 
Huwezi kuwa didy, bila kupiga puff /inabidi uwe na juhudi, uweze kupigwa tafu

Huwa sibagui mchezo, popote natupa kete /gwiji uwe na uwezo, uweze nitupia teke

Namake headlines, ka ziara za magufuri /bingwa wa punchlines, bro jipange vizuri

Mi ndo chlorine gas, ninaye kupa wewe stress /natumia simple tenses, the past itanipa kesi
 
Speed ni mia ishirini, shaa sugua gaga/

chuki ni kwa umasikini, sio tajiri anaekula baga/

mtengwa sitaki sana, naonja ka suna/

emcee unae washwa, mistari itakukuna/
 
Punda usibebe mzigo /kwenda ulaya kumake bingo
Utaishia kukatwa shingo /ubaki historia ka mabitozi wa migo migo
Vijana tumedolola kiakili /ndo mana wadosi wametufanya deal
tafakari mara mbili /wapiga deal wamejaa muhimbili
Masikini ili upone /mlambe tajiri ili akuone
Matiti ya kina dada /Leo wachungaji wameyafanya ibada
Wengi wanatupoteza /wamejaa tamaa ya harufu ya fedha
 
Well said @chlorine thanks kaka
 
prakata tumba,,, tumba,,, tumba,,, akiewasi boo na so wasi yee pile weee.. prakata tataa tumba,, tumba,, tumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom