Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Huwezi kushare Bili Nasi, wewe ni ligi ndogo/

kelele zako hazinipi stress, uki scream ki mbwa koko/

Natembeza nako kwa nako, wananiita chalii mbubu/

Na Fila size yako, brazamen usieitaka fubu/
 
Africa duru/hatupo guru/
Madaraka kama Nkuru/
Zinza ama tume sio huru/
Kama ya lubuva jaji/
Ilivyofanya michezo
Kuna majina ya bajaji
Daftar halina maelezo
Amani ya ubabaishaji
Ya kuwalinda wenye nazo
Wanaofanya ufisadi
Na kutufanya hamnazo

Imetulia sana
 
mtengwa kama chindo/JF kwa kishindo/bongo fleva nawaweka lundo/kisha nawapa nyundo/umbwa kwenye lindo/
 
Naweka kumbukumbu, kwa mistari ka' mmakonde/
Hip hop naibeba kama nundu, mgongoni kwa ng'ombe/
Rap game sio map#mbu, mabitozi wajigambe/
Sasa limeanza kabumbu, sogea chenga nikurambe/
Wanapost picha, mi napost noti/
Nawaficha, kama nimevaa koti/
Wanaruka sambasoti, kwenye koki watalowa/
Nimejikoki, kama joti nawashtua/
Demu ukipata mchumba, chunga sana usidilei/
Siku hizi kuna mitumba, na chupi zimeshuka bei.
 
Okwi Boban Sunzu , hiyo ni msimbazi ya kale

Kwenye mkesha wa mazuzu, chizi jikaze usilale

usiidharau mirembe, kwa mwendawazimu ni shule

Nyundo bila jembe, CCM ni ile ile
 
Ngumu natapika, kama nimemeza shaba
Eti sitawashika, mashabiki wa barnaba
Wanashangaa napika, harakati si haba
Daima sitaandika, ili kumsifia kahaba
Mjini ukiwa mzigo, life litakutesa
Mwisho wake tigo, itakuwa tigopesa
 
Bongo hakuna mvua ya mawe, ni ya ufisadi

Michongo si sandakalawe, ni kwa miadi

Mwongo ni wewe, unaekufa kadi

Jumba la udongo na bendera upewe, kama Zawadi

Siasa ni ujangili, wa akili kwa wapumbavu

Piga dili, usisubiri wakubwa wakupe nyavu

Saka na ukipata, usionyeshe ubavu

Maana zikikata ukidata, watakuona kavu

Pesa kwa wachumba, zinakata kama Luku

Muige Diamond majumba, sio kiduku
 
Wanafanya wanajidai, ili waonekane wame

Sasa nina mori ka Masai, aliyenyang'anywa sime

Wengine kwenye level hawakai, ila wanataka wanipime

Waambie hapa si kula mayai, bali hii game ya kiume

Na floor na goo ni soo kila ninapotimba

Nawa control njoo ila zizi la kondoo limeingia simba
 
huu uzi ni kama cyfa/michano yenye sifa/karibu kamanda nifah /uwe queen latifah/hip hop haiwezi kufa/sio mziki wa kilofa/
 
Last edited by a moderator:
Wanafanya wanajidai, ili waonekane wame

Sasa nina mori ka Masai, aliyenyang'anywa sime

Wengine kwenye level hawakai, ila wanataka wanipime

Waambie hapa si kula mayai, bali hii game ya kiume

Na floor na goo ni soo kila ninapotimba

Nawa control njoo ila zizi la kondoo limeingia simba

Ime sound poa sna
 
Huwezi kushare Bili Nasi, wewe ni ligi ndogo/

kelele zako hazinipi stress, uki sream ki mbwa koko/

Natembeza nako kwa nako, wananiita chalii mbubu/

Na Fila size yako, brazamen usieitaja fubu/

Onja tungo takatifu, ka divai ya Vatican //pole kiwete unayetaka tifu, nitakumeza ka python

Siwezi battle na kipofu, nahisi nitakuonea //nimekubuu kwa route ndefu, ka vinu vya mkorea

So wape kwenu taharifa, kwa wale wasionijua, nasomeka ka lugha ya taifa, ukini dis unajisumbua
 
The legend katika ubora wake umetisha mkuu
 
Naweka kumbukumbu, kwa mistari ka' mmakonde/
Hip hop naibeba kama nundu, mgongoni kwa ng'ombe/
Rap game sio map#mbu, mabitozi wajigambe/
Sasa limeanza kabumbu, sogea chenga nikurambe/
Wanapost picha, mi napost noti/
Nawaficha, kama nimevaa koti/
Wanaruka sambasoti, kwenye koki watalowa/
Nimejikoki, kama joti nawashtua/
Demu ukipata mchumba, chunga sana usidilei/
Siku hizi kuna mitumba, na chupi zimeshuka bei.

Nimekusoma mkuu uko poa sna
 
Africa duru/hatupo guru/
Madaraka kama Nkuru/
Zinza ama tume sio huru/
Kama ya lubuva jaji/
Ilivyofanya michezo
Kuna majina ya bajaji
Daftar halina maelezo
Amani ya ubabaishaji
Ya kuwalinda wenye nazo
Wanaofanya ufisadi
Na kutufanya hamnazo
I like this aisee
 
Onja tungo takatifu, ka divai ya Vatican //pole kiwete unayetaka tifu, nitakumeza ka python

Siwezi battle na kipofu, nahisi nitakuonea //nimekubuu kwa route ndefu, ka vinu vya mkorea

So wape kwenu taharifa, kwa wale wasionijua, nasomeka ka lugha ya taifa, ukini dis unajisumbua

Hakunaga kilimo cha sukari, shambani utapara miwa/

Hunipendi kama ukweli, daima utanichukia/

Nakupa maarifa, kilaza uliekimbia umande/

Jf ni rap cypher, mtengwa nakanyaga twende/
 
Ukiota u me sup, call me morning stress

Mkemia wa rap, sitishwi ni chlorine gas

Blak mamba, kaa mbali natema sumu

Mwenye mistari famba, sogea kando its ma time
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom