Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Hahhaz chanel namba ngapi hio? Nibebe twende wote huko labda nitabebishwa.
Au unaongelea nickelodeon an kina boomerang? Hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] zipo nyingi nyingi,bado nafuatilia itakayokufaa zaidi nitakupa jibu. Huko afadhali kuna kubebishwa[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] zipo nyingi nyingi,bado nafuatilia itakayokufaa zaidi nitakupa jibu. Huko afadhali kuna kubebishwa[emoji23]
Hahah.
Poa nitakukumbusha.
Ukishaona tu alert ujue ni kikumbusho aka reminder
 
Si ndio akili zenu maccm, kukurupuka tu kila wakati!
Fisi em imeharibu sana hili taifa...
Itakuwa ile ya asili,hii mpya ya mwenyekiti (ccm ukawa) itakuwa moto yaani fire kudumisha fikra za mwenyekiti. Tutakimbia speed ya 5G kwenye right track,tembea kifua mbele tu.
 
CCM hoyeeee.....akili za kuvukia barabara, shithole gov.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…