Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka kanisani anatafakari masomo na mafundisho ntawezaje kumwambia nakaupenda! Nimekua cross way kwahilo sijui ni muda gani ufaao kuongea na mdada kwa minajili ya ndoa tuu si vinginevyo
Unayetaka kumtongoza ratiba yake ikoje? Kama nia yako ni ndoa tumia utaratibu wa 'original' culture ya Kiafrika ya kuchumbia kwa kuandika barua na kutuma mshenga. Kwani wewe hukusoma 'Things Fall apart'? Halafu 'kutongoza' na 'kuchumbia' na hatimaye kuoa ni mambo tofauti kabisa, na mara nyingi mhusika akisikia unataka kumtongoza na sio uchumba kazi ni kubwa ila hautakiwi kudanganya.