Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,135
Kati ya asubuhi au mchana na jioni, maana nyakati zote zimeniwia ngumu asubuhi mtu ndio anaamka na mipandilio ya kazi pengine,mchana au jioni kazi zimemalizika ana uchovu, au jpili mtu katoka kanisani anatafakari masomo na mafundisho ntawezaje kumwambia nakaupenda! Nimekua cross way kwahilo sijui ni muda gani ufaao kuongea na mdada kwa minajili ya ndoa tuu si vinginevyo