Muchana - Kasie Matata......

Muchana - Kasie Matata......

Ila Na Wew Ukiwa Kama Bi Mother Wangu Una Saut Kubwa Tuu Ya Kumshaur Na Kunitetea Vile Vile Unayo Nafasi Ya Kunikandamiza Ivyo Ni Wew Tuuu Bi Mother

Hahahaa una maneno wewe siku hizi. .... nani kakufunsisha kuongea hivi. Kipindi kile ulikuwa unaongea kipare tuu hehehehehehee.

Usijali ntakutetea hautopewa adhabu na baba yako.
 
Hahahaa una maneno wewe siku hizi. .... nani kakufunsisha kuongea hivi. Kipindi kile ulikuwa unaongea kipare tuu hehehehehehee.

Usijali ntakutetea hautopewa adhabu na baba yako.
Nikupe Assignments Ukampe Kesho Mzee Baba..??
 
Hahahaha umeanza, haya niambie ni agizo gani hilo? Kama halitaniletea madhara nipe ila kama lina madhara akuu sichukui hehehehehehe

Haya sema n nini?
Huu Ni Mwaka Mpya
Mshawish Kuacha Kuvaa Miwan

Ila Tafuta Maneno Matam Ya Kumwambia Mzee Mwenzio

Mim Usije Ntaja Aithee
 
Huu Ni Mwaka Mpya
Mshawish Kuacha Kuvaa Miwan

Ila Tafuta Maneno Matam Ya Kumwambia Mzee Mwenzio

Mim Usije Ntaja Aithee

Hahahahahahaa una hatari wewee, na mie nna miwani yangu. Sitoitoa tangu naingia hadi natoka hehehehehhehee

Usijali ujumbe umefika.
 
Mmh thanx kasie
Ever smiling kasie
Najuta kuchelewa kuzaliwa

Hahahahahaha usijute banaa, kila jambo na wakati wake na majira yake. Usijali utakutana na wa wakati wako na siajabu akabamba kuliko Kasie Matata hehehehehe.

Ever Smiling Kasie.
 
Hahahahahahaa una hatari wewee, na mie nna miwani yangu. Sitoitoa tangu naingia hadi natoka hehehehehhehee

Usijali ujumbe umefika.
Ila Unajua Mzee Baba anakupenda sana Bi Mother!!!!!?

Leo Wakat Amenipigia kunitakia Kheri Ya Mwaka Mpya Nikamwambia Siwez Kuongea Na Simu Kwa Mtu Mkubwa kama Wew Naitaji Kuja Nyumban Kula Pilau

Akaniambia Kesho Nisije Sababu Kuna Bi Mother Anatarahiwa Kuja
 
Hahahahahahaha Ambiele mbona una visa hivyooo loooh.

Nashukuru kwa mahaba yake mujaruba bila shaka atapata mrejesho wa mahaba aliyonayo kwa Kasie hadi arejee ujana wake kama tai hehehehhehe.

Kasinde.
 
Hahahahahahaha Ambiele mbona una visa hivyooo loooh.

Nashukuru kwa mahaba yake mujaruba bila shaka atapata mrejesho wa mahaba aliyonayo kwa Kasie hadi arejee ujana wake kama tai hehehehhehe.

Kasinde.
Sasa Napata Jawabu La Swali Nillo Kuwa Najiuliza Kwann Mzee Anikataze Nisiende Nyumban Kesho J4 Na Badala Yake Iwe J5...??

Kumbe Kuna Bonanza Aitheeee
 
Sasa Napata Jawabu La Swali Nillo Kuwa Najiuliza Kwann Mzee Anikataze Nisiende Nyumban Kesho J4 Na Badala Yake Iwe J5...??

Kumbe Kuna Bonanza Aitheeee

Hahahahahhahahaaa sikujua wewe ni muongeaji hivi aahahahahhahahahhahaaa umenichekesha ujue...... Mi nahisi wewe kesho utajisahaulisha ufikiri kesho ni jumatano badala ya jumanne ili utokee maili moja hahahahhahahaaa.
 
Yani Ukitaka Umuone Mzee Baba Kakasilika Na Umemkela Nijifanye Sijui Kesho Ni Lin

Zen Niibuke Tuuu

Utababisha Mtu Avue Miwan Siku Nzima
 
Hahahahhahahaaa weweee acha fujo banaa, usije ukaanza kunipiga mipicha buree. Utanifanya nihame hapa tuhamie kiota kingine....

Asante I just put on my sundae best.
Picha,Video zote nishazipata,
Nasubiria univuruge Ma........
Nikupeleke viral.
 
Picha,Video zote nishazipata,
Nasubiria univuruge Ma........
Nikupeleke viral.

Hahahahahahahahaa mie mwenyewe mbona kivurugee. .... sema 2018 bado mpya ngoja ichanganye.

Sasa ukipeleka hizo za kwako viral za kwako itakuwa cha mtoto, wenzio wanazo full HD siku miingii heheheheh

Tobah!
Kumbe hakuna atakaebaki salama?
 
Tobah!
Kumbe hakuna atakaebaki salama?

Kabisaaa, bora ustuke mapemaaaa uachane na hizo mambo ili ubaki salama Na usimuamini mtu tenaa yeyootee yuleee hehheheheh.

Ever Smiling Kasie.
 
Zawadi yako kasie

Jephta, assnte sana kwa zawadi yako murua.... Wajua nini.... Kasinde yuko mbishi na mkorofi kwa wakati huo huo , you apenda mziki na apenda kucheza..... bila kujali watu wa pembeni wanamuonaje au wanamsemaje au muonekano wake ukoje (kasie ni kizee kigagula)

Kwenye hii video huyo dada wa line ya pili hapo mbele mbele kavaa gauni la blue halafu kapigwa pasi kwa nyuma na matairi kwa mbele ziwa mdondo heheheh tofauti na wadada wote hapo..... basi Kasie ndo anafanania hivohivo hadi rangi na kimo sema usoni makunyanzi ndo mengi.

Wacha nijaribu kuiweka full video kama itakubali isiwe kama attachment.

Aaah naona imenigomea.

Asante sana kwa zawadi, umenikonga kumoyo.

Ever Smiling Kasie.
 
Attachments

Back
Top Bottom