Muchana - Kasie Matata......

Muchana - Kasie Matata......

Twende J 5 Ndio Yupo Free Zaid Mzee Wangu Uyu

Wee bana unanivurugia ratiba zangu.....

Mie gatepass nshapewa ya kesho sasa wewe unataka nianze kumsumbua mshana anipe gatepass ya jumatano. Wee ukitaka kesho tena kazini twende kesho halafu kazi zako utazifanya jumatano hehehehe.

Labda mwenyewe mshana ndo anibadilishie iwe jumatano laah keshoo mapemaaaa chai naenda inywea maili moja.
 
Ah ah ah ah ah ah Nimejikuta Nacheka Tuuu Bi Mother
 
Ah ah ah ah

Kawaida Tuuu Bi Mother Vp Leo imekuwaje Umetoka Mzee Baba Ukamuacha...???

Wee unataka kuchungulia chini ya shuka wanalojifunika baba yako na mama yako??!!

Unaweza Usipate laana ila ukapofuka macho hehehehehehee
 
Hapana Sina Mpango Huo Ila Nilitaka Kujua Tuuu Hilo Bi Mother Au Ni Dhambi Kujua?

Mzee Baba kaingia 9t Leo..??

Utampelekea Zawad Gani Mzee Baba
 
Bado unafunua shuka walilojifunika baba na mama yako.... shauri yako ngoja upofuke macho.
 
Wewe endelea tu...

Hahahahahahaa mambo Azarel, heri ya mwaka mpya. Huyu mswedish yupo? Simuoni siku mbili tatu hizi.... amevuka mwaka salama?

Mpande salamu zangu nyingi sana, lile jina lake sijui kwanini huwa linanichanganya kila uchao. ...

Sijui ndo hivi.... Laigunian. ... muite basi aje anisahihishe nimewamiss mnoo.

Ever Smiling Kasie.
 
Usijali Kasie zitamfikia hakika...!

It's my hope atakuitika soon.
 
Ok sitokusemea, ila akiona hapa na akitaka maelezo yako utajitetea mwenyewe hehehehehee.
Ila Na Wew Ukiwa Kama Bi Mother Wangu Una Saut Kubwa Tuu Ya Kumshaur Na Kunitetea Vile Vile Unayo Nafasi Ya Kunikandamiza Ivyo Ni Wew Tuuu Bi Mother
 
Back
Top Bottom