Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,083
- 2,368
Mi nakufunza adabu siwez kukutamani usiyejua hata kujiswafi
hiloooo!!maneno ya mkosaji hayo..jifunze kutongoza kwanza ndo uanze kuparamia wanawake,sio unakuja na sound za kishaamba.
Mi nakufunza adabu siwez kukutamani usiyejua hata kujiswafi
kama umeshndwa kutongoza wazee wenzio huko,utaniweza mie?adabu jishikishe mwenyewe kwanza.
I loved it.....niliichukia UDSM kutokana na jiji lenyewe na miundo mbinu yenyewe! katika List ya mikoa na ma-jiji niliyopenda kwenda kufanyia kazi Dar wasn't in the list. Na Kwa Accounting nzuri yenye kiwango cha board UDSM hawana kwakua hawako chini ya Board Ya NBAA na mitihani yao inatungwa internally na kusahihishwa internally.kwa nin uliopt kwenda muccobs?
Kweli mkuu ni kweli mitihani huwa inapitia NBAA Kwa ajili ya moderationI loved it.....niliichukia UDSM kutokana na jiji lenyewe na miundo mbinu yenyewe! katika List ya mikoa na ma-jiji niliyopenda kwenda kufanyia kazi Dar wasn't in the list. Na Kwa Accounting nzuri yenye kiwango cha board UDSM hawana kwakua hawako chini ya Board Ya NBAA na mitihani yao inatungwa internally na kusahihishwa internally.
Mkuu siwezi kukutania kampuni zenye uwezo wa kuwalipa watu wa level hizo kwa ustahiki mzuri bongo zipo chache sana na waliopo kwenye nafasi hizo ndo wameshafika, na hata ukiisoma umeshafika kazini kupandishwa cheo sambamba na mshahara utasubiri sana na hata ukipandishwa mshahara ni ule tu kujisahulisha lakini hauwezi kulipa muda na cost plas usumbufu unaopata wakati wa kuitafuta!Hivi mkuu mshahara wa MTU mwenye CPA(T) + BACHELOR DEGREE ni bei gani na mtu mwenye bachelor tu ya Accounting?
Seneta acha porojo wewe kwanini ulimwanika mwenzio hapa jf?
Kwanini ulimsaliti rafiki yako kwa Ku disclose jina lake?
Yapp mkuuhöngera muccobs full content you hv confirmed that edu is nöt buildings but knowledge
Inaelekea mnajuana vyema.
Mkuu lusungo kakutongoza?yeah,huyu mbabu kazi yake ni kutongoza mabinti 2 humu jf,ukimkataa anakujengea chuki.
Mkuu lusungo kakutongoza?
ndo kazi yake kubwa hapa jukwaani.
baba zima unahangaika na visichana vidogo..ebu jiheshmu we mzee.khaaah
mkuu kwani we ni binti? sorry kwa swali mkuu!
hahahahaaa! hawa jamaa wote wawili, Advocate J na Perry a.k.a mpigamsuli walikuwa wakorofi sana enzi zao! lol..
Mkuu siwezi kukutania kampuni zenye uwezo wa kuwalipa watu wa level hizo kwa ustahiki mzuri bongo zipo chache sana na waliopo kwenye nafasi hizo ndo wameshafika, na hata ukiisoma umeshafika kazini kupandishwa cheo sambamba na mshahara utasubiri sana na hata ukipandishwa mshahara ni ule tu kujisahulisha lakini hauwezi kulipa muda na cost plas usumbufu unaopata wakati wa kuitafuta!
Wanawake wanaweza kuongeza elimu hizo kwa kuwa hawana majukumu kama wanaume, wao kujenga familia kwa kui-finance ni favour wakati kwa wanaume ni lazima! Bila kusahau na wale wengine waliozaliwa na kuzikuta hela lakini kwasisi watoto wa kwanza, mmoja katika familia ndo tegemeo la familia nzima ni ngumu sana!
Naomba mtu asikwazike kwa kua ni mtazamo wangu tu na si sheria!