ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Itakuwa na mchango mkubwa sana kwenye taifa
Ndugu zangu naomba kuuliza,hivi chuo cha MUCoBS kimeshaanza kujitegemea na hakipo tena chini ya SUA?
Izo stori hazijaanza leo, ata kibadilishwe jina kiitwe mbupu ila chuo cha kiboya tu.
Inamaana bado hakijabatizwa jina lingine?MUCCoBS
Ahadi ya bashite alipotembelea moshi na kusababisha bwana yule kuachia madaraka