MUCCoBS kuwa MoCU

MUCCoBS kuwa MoCU

Division 2, SHYCOM(ECA).........I almost forget, on my way to where i wanted to be,...i have your sis for a wife and she bears nice bright kids too!
kwa nin uliopt kwenda muccobs?
 
we unataka nini seneta?

Advocate J huyu ndo alokuanika hapa jamvini sema thuu tumuumbue nayeye

wewe tangu unitongoze nikakukataa umejenga chuki na mie!pole lakn,unapotongoza m2 elewa kuna kukubaliwa au kukataliwa.
 
Last edited by a moderator:

Wewe ulimwanika mwenzio live hapa so hilo wengi hatukulipenda...

Senetaaaaaa
 
mie nishakuambia SIKUHITAJI we kaka..mbona king'ang'anizi ivyo?

Kwanini ulianika maisha yamwenzio hapa jf?

Kwanini ulitumia fake ID kumuumbua rafiki yako?

Adhabu nilizokupa bado sijaridhika nazo mwenzio holygrail tumempa likizo ya maisha ( life ban)

Stay tuned
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu kwa kuopt ACCOUNTING!-Kuna washkaji zangu wameenda Management option!-Wanasema Account option ngumu balaa! Vipi ushajaribu kupiga mitihani ya NBAA( CPA)?
Ni ngumu kama huna basic ya Commercial subjects(commerce na Book-keeping), mi nilianza nazo form one mpaka chuo So it wasn't that big issue to me!
Mitihani Ya CPA hapana, nina mtazamo wangu mwingine zaidi ya kuongeza ilimu hiyo hasa nikiangalia yafuatayo.....!
1) Mshahara ambao degree holder na walio juu yake wanalipwa hapa Tz kwa sasa.
2) Ndoto zangu za short na long term as i dont want to work for someone forever.
3) Mpaka sasa sijarudisha gharama za elimu ambayo niliyonayo.
4) Cost ya kuipata hiyo CPAT as compared to returns ambazo naweza pata if niki-invest that amount now!
5)Life expectancy ya mwanaume na ujengaji wa my familly, nafikiri its time sasa ni-invest kwao zaidi ya kichwa changu coz they need it more than i do hasa ukiangalia Tanzania inapokwenda!
 
Hivi mkuu mshahara wa MTU mwenye CPA(T) + BACHELOR DEGREE ni bei gani na mtu mwenye bachelor tu ya Accounting?
 
Kwanini ulianika maisha yamwenzio hapa jf?

Kwanini ulitumia fake ID kumuumbua rafiki yako?

Adhabu nilizokupa bado sijaridhika nazo mwenzio holygrail tumempa likizo ya maisha ( life ban)

Stay tuned

ongea ujinga wako wote,ila point ya msing ni kwamba sikutaki.fuata wazee wenzio huko,kwani huwaoni?
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe nimemaliza diploma pale, nataka niunge degree Ba-PSM,/BA-MFED!, MuCo juuuuuuu
 
Back
Top Bottom