Mubashara: Mwenyekiti wa CHADEMA MHE: Freeman Mbowe akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya ya CHADEMA

chadema imeshakufa.....na nakuhakikishia hakuna mtu atahangaika nacho kwa sasa......sasa hivi act ndio inapaswa kupandishwa chat

Nadhani utafurahi sana cdm ikifa, lakini ukweli Magufuli hana uwezo wa kuiua cdm zaidi ya kutumia madaraka yake vibaya kuifanyia hujuma. ACT hata ipande chat bado haiwezi kuwa kikwazo kwa cdm, sana sana itakuwa kitisho kwa ccm maana ndio inatumia nguvu nyingi akili kidogo.
 
chadema imeshakufa.....na nakuhakikishia hakuna mtu atahangaika nacho kwa sasa......sasa hivi act ndio inapaswa kupandishwa chat
Ipandishwe chat na nani badala ya kujipandisha yenyewe, ina maana wewe na Uvccm ndio mmeajiliwa kuipandisha ACT?
 
Back
Top Bottom