Mubashara: Mwenyekiti wa CHADEMA MHE: Freeman Mbowe akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya ya CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mkiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Chama inayokutana leo Jumamosi, Machi 30, 2019, jijini Dar es Salaam.

mbowe.jpg

Update
 
Mkiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Chama inayokutana leo Jumamosi, Machi 30, 2019, jijini Dar es Salaam.

View attachment 1057894
Natumaini kikao kitamalizika kwa kauli mbiu yenye Utaifa zaidi ya kumtukuza mtu mmoja.

Pia wazingatie kuwa wananchi tunasubiri kwa hamu Sera za Chama ambazo zikijadiliwa zitakipa mwelekeo au Ilani ya Uchaguzi ujao ili kibaki
Chama Kikuu cha Upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom