Mr. Teacher
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 330
- 88
Yaani, cant believe that Mubarak kang'ang'ania Ikulu!!! I was watching CNN juzi asubuhi sikuamini macho yangu pale nlipoona gari za polisi zikipita katikati ya waandamanaji wa amani na kuwagonga bila sababu, halafu baadae jamaa anasema poleni kwa yote yaliyotokea???????? mh mh, hii si halali hata punje!!!!