muandishi wa habari huyu

mkalagale

Member
Sep 25, 2011
71
0
kuna ajali ilitokea na watu wengi walikuwa wamezunguka eneo ambalo ajali hiyo ya gari imetokea gari ilikuwa imegonga sasa kuna mwandishi alikuwa anataka apate japo picha mbili za kwenda kutoa gazetini lakini hakupata nafasi kwa sababu watu walikua wamezunguka eneo lote akaamua kutumia ujanja akema jamani aliyegongwa ni ndugu yangu naombeni mnipishe nimuone watu wote wakamwangalia kwa mshangao huku wakimpisha jamaa kufika tu akakuta kumbe ni fisi aliyekuwa amegongwa kilichoendelea mi sijui kwa sababu niliondoka mapema
 

the grate

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
204
0
kilichoendelea ni kichapo me nilikuwepo hadi mwisho walah vile wamemzibua hadi picha yake ikawekwa gazetn
 

Sued Mkwawa

Member
Jul 24, 2011
10
0
Baada ya kichapo alikombwa kila kitu mi nkamtoa kajelo kwenye mfuko wa shati cjui ndo kalikua kanauli kake kakabakiza
 

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
0
huyo mwandishi wa habari namjua maana haishiwi vituko ana umri kati ya miaka 34,kuna siku nyingine hivyo hivyo kwenye mazishi yy akaja analia mazima ooh huyu jamaa rafiki yangu tumesoma wote,ooh kazini alikua mchapa kazi,oooh ameacha pengo kubwa alizibiki,na alisubutu kusema ooh marehemu tunafanya nae biashara na ninamdai,,,duh watu wanamcheki tu na kumshangaa kwasababu aliyekufa alikua mtoto wa miezi 2.
duh sasa huyu amezidi kumbe na hapo ameleta drama tena?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom