muandaaji miss chit chat kaingia mitini na zawadi za mshindi

Status
Not open for further replies.
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?. Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu. mia

hata mshindi mwenyewe inawezekana kapotea nae, mi nilishasema tangu mwanzo huyu jamaa tapeli
 
Last edited by a moderator:
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?. Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu. mia

Kwanza nichukue fursa hii kuwaomba ladhi,kwa kuchelewa.Lakini pia mfahamu mimi ni Binadamu,nikiwa Binadamu nina kutana na maswahibu mengi,...............samahani kwa kushelewa
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe! kafanyaje!!! Ruhazwe JR Lundenga njoo haraka ujibu tuhuma hizi ni nzito sana, fanya fasta kabla hatujaanza maandamano!!! lete zawadi ya Arabela

mwombe mzee wa mia akudhibitishie then,uje na ushahidi ili unitake maelezo
 
Last edited by a moderator:
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?. Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu. mia

Piga kura yako kwa lara 1
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom