Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,710 Sep 10, 2015 #61 CCM kwishaaaaaaaaaaaaaa Lowassaaaaaa ndio chaguo letu...!!!
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,877 Reaction score 4,612 Sep 10, 2015 #62 yahoo said: #www.teamnyumbu.co.tz Click to expand... ... and you too, out!!
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Sep 10, 2015 #63 Lete uthibitisho mkuu la sivo ni majungu at work...
lacuna JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 653 Reaction score 168 Sep 10, 2015 #64 Wameshafilisika chezea kuhonga weye?
lacuna JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 653 Reaction score 168 Sep 10, 2015 #65 Huwezi kuununua uongozi hata siku moja utaishiwa tu na uongozi hupati
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,125 Sep 10, 2015 #66 MUSIGAJI said: kuna mtangazaji mmoja TBC aliwahi kusoma magazeti asubuhi kwa.weledi mkubwa sana aisee Click to expand... Naukumbuka ule wa kuruka vichwa vya habari zilizopewa kipaumbele, akawa anasoma zile ambazo hazikuwa za kiaumbele !!
MUSIGAJI said: kuna mtangazaji mmoja TBC aliwahi kusoma magazeti asubuhi kwa.weledi mkubwa sana aisee Click to expand... Naukumbuka ule wa kuruka vichwa vya habari zilizopewa kipaumbele, akawa anasoma zile ambazo hazikuwa za kiaumbele !!
J Jozi 1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 6,562 Reaction score 4,151 Sep 10, 2015 #67 Lizaboni said: Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi Click to expand... Nilishangaa kuwa waandishi wa habari wamekuwa makundi ya ushabiki kwenye press conference. Wanapiga makofi na kushangilia. Nchi zilizoendelea unafutiwa kibali cha kazi. Waandishi wa habari jirekebisheni.
Lizaboni said: Waandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi Click to expand... Nilishangaa kuwa waandishi wa habari wamekuwa makundi ya ushabiki kwenye press conference. Wanapiga makofi na kushangilia. Nchi zilizoendelea unafutiwa kibali cha kazi. Waandishi wa habari jirekebisheni.