Huko anakozikusanya ikifika kuzirudisha ndio shughuli bin tafrani, tutegemee watoto,wajukuu na vitukuu vya richmond.
mkuu ni vema ukituwekea ushahidi kidogo .Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...
Hii sasa hatari
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...
Hii sasa hatari
Mkuu atoto unaamini vipi propaganda nyepesi kama hizo bila evidence yeyote???...UNLESS OTHERWISE WEWE NI GAMBA...maana huyo mleta thread alitakiwa kutuwekea ushahidi ata wa VOICE CLIP wa hao wafanyakazi wakiwemo waandishi wa campaigns za lowassa wakilalamikia kutolipwa ujira wao au kupewa ujira kidogo lakini sio kama anavyoleta tu habari za kusadikika hivihivi bila evidence alafu aaminike tena kwa ukizingatia kipindi hiki CCM ikining'inia na kamba ya manila mtini hivyo wanahaha kuikata hiyo kamba bila mafanikio hadi sasa!
Unataka evidence? Subiri octoba Maghufuri atakapoingia ikulu. Ccm hoyeeeeee.
Unataka evidence? Subiri octoba Maghufuri atakapoingia ikulu. Ccm hoyeeeeee.
#atoto kumbe na ww umegoma kusombwa na mafuriko,hongera kwa kufikiri kwa kutumia kichwa chako
#ccmout imechoka inaita wananchi malofa imeua viwanda imeua uchumi inaenda bora mradi haifai #ccmout UKAWA NA LOWASSA IN M4C #Mabadiliko2015 hayakwepeki