Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...
Hii sasa hatari
Usijisahau ukumbuke kuwa anazotumia magufuli ni kodi yetu!
Katika hali isiyo ya kawaida wapambe wanaofanya kazi za katika kampeni na lowasaa wameanza kulalamika baada ya mirija ya fedha walizokuwa wakipewa kuanza kupungua...vijana hao hasa...wakiwemo waandishi wamesikika wakilalamika kutopata fedha kwa wakati, na katika kujinasua na kuaibika Lowassa ameanza mipango ya kutafuta kutoka outside source...
Hii sasa hatari
Halafu wanahongwa na jitu la ajabu ajabu amakweli tuna ma poyoyo ya waandishi TEAM WAZALENDOWaandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi
kuna mtangazaji mmoja TBC aliwahi kusoma magazeti asubuhi kwa.weledi mkubwa sana aiseeWaandishi wetu wajifunze kufanya kazi kwa weledi. Kuhongwa hongwa kunawafanya wakumbatie mafisadi