Muajiriwa wa Ualimu katika Chuo cha Umma, benefits zake zikoje?

Brothers Karamazov

Senior Member
Jul 13, 2023
152
391
JF hapakosekani majibu sahihi.

Naombeni kujua, muajiriwa wa Chuo cha Umma, IFM to be specific, mshahara wake ukoje? Anapewa makazi? Je, kuna allowance zozote za semina au warsha? Je wana safari za kikazi? N.k

Elimu ni shahada ya uzamili.

Asanteni.
 
Hasa haende wapi? Atembeze bahasha, nenda ukajionee huko huko.
 
Back
Top Bottom