Muafaka CCM, CHADEMA waiva

Eng, nakupongeza kwa kumkumbusha huyu jaama. Yupo Mwandishi anajiita Mwalimu Mkuu wa Watu, yeye ansema kina Sitta na mitume wake na vita hewa ya ufisadi waliiisimamisha nchi kwa miaka mitatu na sasa wanataka kuisimamisha kwa wimbo wa CDM. Namshangaa na yeye anaingia kwenye lama dhidi ya maandamano ya Chadema wakati kilichofanya wao wasitishe kuandamana ni umati kidogo wa watu waliojitokeza Mbeya ukilinganisha na ule wa CDM. Fanyeni kazi ya kujenga nchi mwaka 2015 haupo mbali
 

Kama una hamu ya kufa si ujitundike tu??? si lazima uuawe kwa risasi, zina gharama zake.
 
Don't make me lough, Hanger Strike in Tanzania? people will lough at you.
If leaders like Nyerere,Mandela,Gandhi took that route,it would've worked.
We don't have a universally accepted leader in Tanzania, especially nowadays, thats why it sounds funy if Mbowe goes on a hunger strike.I will be like,"So what?..."
 
masikini magwanda, kwa taarifa yako hata kuwaza nitafanya research kwa topic gani sijawaza..... Uongo mwingine uone aibu kuropoka kitu usichokijua pole sana... Kama hii ndo aina ya viongozi basi hatari....any way ndo maaana...
unaonekana umelewa ushabiki! Kumbuka hili ni jukwaa takatifu ambalo watu wanajifunza na kuielimisha jamii kwa mambo mengi, na si propaganda zako za mara reasearch alidesa nk. Kama unauhakika lete ushahidi sisi kama watalaam tutakusaidia.
 

..Rudia kuisoma mada alafu jiridhishe kama hapaswi kuizungumzia Arusha na Chadema...
 
Asante Nsiande, zamani mimi nilikuwa najiuliza nitakuwaje kiongozi kama Nyerere au Salimu lakini siku hizi naona anybody can be a leader in Tanzania. Nilidhani cheo cha Nape ni kikubwa sana hapa kwetu maana kina influence kwa siasa zetu za kitaifa lakini majibu ya mwenye cheo hayalingani kabisa na cheo chenyewe.
 
You guys are just fooling yourselves,it's Dr.Slaa who sounds like Jahazi modern taarab with rhetorical posts as you saw earlier.

Not to ruin your day but who told the other is living in "Ahera?".......c'mon acheni ushabiki,mwageni points kama hamna just go and fix transformers.
Kwanini mnaficha sababu za kutokwenda mahakamani?Who approached the other? It's CDM going to Pinda's house,not CCM going to Mbowe's house.....try not to fool us,you guys suck!!!..I mean,big time.
 

Hii inahusika vipi na Mgogoro wa Umeya Arusha??please..
 
Mkuu mmimi sishangai majibu ila nashangaa mnaoshangaa majibu haya. Kwani yule Wassira si ni mjumbe wa CC na Waziri mwandamizi? Majibu yake yanapishanaje na haya ya sijui Magwanda yamefanyeje na majibu mengine mepesi mepesi. Hata Ndugai hana majibu tofauti na haya atashambulia rangi ya nguo na vitu vidgoidog kama hii
 
kobello

We know you know kingeredha, ila ni ulimbukeni kulazimisha kujadili kwa kingereza wakati wengine wanatumia kiswahili, ina maana kweli hujui kiswahili?
NAJUA!....usimaindi vitu vidogo kama hivi.
 
Kama hili tunaliona ni jambo la kawaida basi Tanzania tumefikia mahali pabaya sana kiongozi anayeropoka na hasa mwenye sauti kubwa ya kubishana na wapinzani anaonekana ndiye anayefaa. Wassira anasikika si kwa uongozi wake mzuri bali ni kwa hasira na ubishi wake juu ya wapinzani, hii ni hatari, tuendako tutakuwa tunachagua viongozi, mawaziri si kwa merits zao bali kwa mwonekano wao kwenye jukwaa la siasa.
 
Kwani hujasoma post ya kwanza yaDr Slaa?.....si aliandika magamba? reffering to who?...acha ushabiki,tumeshuhudia taarab toka kwa hawa viongozi,ila nadhani dr. katimka!!
 
Kwani hujasoma post ya kwanza yaDr Slaa?.....si aliandika magamba? reffering to who?...acha ushabiki,tumeshuhudia taarab toka kwa hawa viongozi,ila nadhani dr. katimka!!
Mimi siangalii unavyoangalia wewe kuwa karopoka post ya leo au katimka kwani kaondoka kwenye uongozi huo ni mtazamo wa kishabiki zaidi, mimi naangalia zaidi ya posts za leo, naangalia viongozi na uongozi wao na uwezo wa kiongozi kujengea hoja jambo fulani si makosa ya neno moja kama unavyotaka wewe kuangalia. Najaribu kuangalia viongozi na uongozi tulionao sasa na ule wa enzi ya awamu wa kwanza na ya pili.
 
Ooh okay!
 
Thanx kwa ufafanuzi Dr Slaa, Huyu nape hastahili kuwa kiongozi wa ngazi hiyo aliyonayo maana anaweza kuwa na uelewa mdogo au ndio kazidiwa na magamba kiasi cha kushindwa kuelewa uhalisia wa mambo na kukurupuka tu.
 
Thanx kwa ufafanuzi Dr Slaa, Huyu nape hastahili kuwa kiongozi wa ngazi hiyo aliyonayo maana anaweza kuwa na uelewa mdogo au ndio kazidiwa na magamba kiasi cha kushindwa kuelewa uhalisia wa mambo na kukurupuka tu.
Nadhani hapa ushabiki ndio unaotawala,kuhusu mgogoro wa Arusha,CCM bado haijapata official notification,hawajachagua wawakilishi...CDM wamepata na wamechagua wawakilishi.
Mimi kama mwanachama hai wa CCM sikubaliani na azma ya CDM/tENDWA kuhusu haya mazungumzo.Hayana mantiki yoyote kwa CCM as a party.
Mnasema mna timu kali,ndio maana tunawaogopa,...puh-lease!! there are 10 times as many PhDs in CCM than all oppossition parties combined!!
 
Yes, who are they?
 
Nape Mi sina heshima yeyote na wala siitaji heshima aina hiyo unaidhani na kufikiri nina heshima kubwa mbele za Mungu wangu na sehemu ambazo watu wanatumia ubongo zaidi kuliko mdomo! kama nilivyokwisha kusema ndivyo unavyothibitisha hapa labda ujiulize mwenyewe wajumbe waliokuwa wanachaguliwa na M/Mkuu kuingia NEC walikuwa wanamwakilisha nani katika vikao vya NEC? au kwa lugha rahisi wanamwongoza nani? katika shughuli zao za kila siku? Ulikuwa Kiongozi wa NEC! au Kiongozi wa M/Mkuu!?

Wewe hujawai kuwa kiongozi mahala popote Nape, huo ndio ukweli labda kama wewe dhana yao ya neno uongozi inakinzana na maana halisi ya uongozi, maana hata Qadhaffi alikuwa anasema yeye ni kiongozi wa Libya ingawa walibya walikuwa hawajampigia kura hata siku moja.
 
Yes I agree, wa kwanza ni Dr, Dr, Dr, JK, Dr, Mary Mwanjelwa, Dr Rwakatare, Dr Augustino Mrema n.k aaaaah nilitaka kusahau Dr Didas Masaburi, Dr Masumbuko Lamwai, Dr Mihanjo, Dr Mwakyembe, Dr Daud Balali, Dr, Benson Bana, Dr e.t.c. Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele. Sikuwahi kufikiri kuwa kumbe majibu ni rahisi kiasi hiki. Umesahau Ma Prof nao wako wengi kama Prof Mukandala, Benno Ndulu, Kikula, Mlacha, n.k
Hongereni sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…