Uliongea nao wote wakakwambia hawaijui JF?Waliombambikizia kesi wapo humu jf au umeamua kumpigia mbuzi gitaa ?
Nenda gerezani kwa niaba yake.Sasa inatosha muachie Lisu..................Muachieni Lisu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
kesi si ipo mahakamani maamuzii yote yanatokea ukoSasa inatosha muachie Lisu..................Muachieni Lisu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Wanasoma JF na huenda wana ID hadi chit chatWaliombambikizia kesi wapo humu jf au umeamua kumpigia mbuzi gitaa ?
Uliongea nao wote wakakwambia wanaijua Jf ?Uliongea nao wote wakakwambia hawaijui JF?
Soma kwa moyo na siyo kwa meno na macho tu.Kwani waliomfunga ni waislamu au serikali?
Jidanganye.Wanasoma JF na huenda wana ID hadi chit chat
Naunga mkono hoja Kama gaidi alisamehewa licha ya kukutwa na Prima Facie, mhaini pia anaweza kusamehewa. Tumuombee msamaha wa 'Kusameheana Kupo' au akomae nao mpaka?Sasa inatosha muachie Lisu..................Muachieni Lisu
sawaJidanganye.
Ilianzia nje ya mahakama na hata maamuzi yanaweza kutoka nje ya mahakama.kesi si ipo mahakamani maamuzii yote yanatokea uko
Unaandika kama umekatwa kichwa? Au kichwa chako hakifanyi kazi?Nenda gerezani kwa niaba yake.
Nani kakwambia wanasiasa wana aibu ?Wanaona aibu kumwachia
Wewe nusu yao walikuambiaje?Uliongea nao wote wakakwambia wanaijua Jf ?
Wewe nusu yao walikwambiaje ?Wewe nusu yao walikuambiaje?