Muacheni Mungu aitwe Mungu tu

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,680
Muda mwingine unaweza kujikatia tamaa kwa maisha unayoishi,ila ukiangalia kwa wengine ndio unajua Mungu kakufavor sana, tunahangaika kutafuta pesa kukicha ili tuishi maisha manzuri kumbe kuna mtu ana hata huo uwezo wa kutafuta hizo pesa,maisha yake ya shida sana wengine wanaishi kama wanyama,jamani daima tukumbuke kumuomba MUNGU na kusifu uweza wake ulio mkuu,hapa duniani tupo kwenye mtihani ila matokeo ya mtihani tuliopewa majibu yake yapo kesho ahera,MUNGU DAIMA UTABAKI KUWA MUNGU

Kwakweli tunatakiwa kushkuru
Mkuu struggle man huko sahihi kabisa. Kuna mahali unafiki a ni nguvu tu kutoka juu ndo msaada pekee uliobakia. Unajikita kama mikono yote na miguu imekataa. Hali hii imeshanitokeaga. Pumzi na afya njema mtu unayo ni jambo la kushukuru.
 
Kama huyo mzee ana miaka around 80-90 yuko hivyo wewe jiulize anapata wapi chakula cha kila siku,malaika wapo tunaishi nao mtaani wengine tunawadharau kwa hali walionayo,kitu nilichokataaga kwenye maisha yangu sitakuja kumdharau mtu yeyote hata kama amezaliwa leo
 
Mkuu struggle man huko sahihi kabisa. Kuna mahali unafiki a ni nguvu tu kutoka juu ndo msaada pekee uliobakia. Unajikita kama mikono yote na miguu imekataa. Hali hii imeshanitokeaga. Pumzi na afya njema mtu unayo ni jambo la kushukuru.
Watu mliokata tamaa na rehma za mola jambo ambalo hatutakiwi tuwe nalo, hapana kukata tamaa mpaka pumzi yako yamwisho kwani kuna wengine wako na hali mabaya kuliko ww
Don't giveup kila kitu kina mda wake
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom